cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,877
- 192,220
[emoji23][emoji23][emoji23] wee usinidanganye mie, hiyo miaka ndo ulikua unahitimu 4m 4, wakati huo mie nikiwa 4m 1 au 2.Ulikuwa la ngapi hiyo miaka?
Wengine hapo tunawaza tutachomoka vipi na ACSE na kwenda chuo[emoji16]hali ilikuwa tete mno.