Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Shida ipo kwenye kusambaza.Na hii nayo ni rahisi tu ,unaweza kusambaza na kijiko unachomwagia au pan yenyewe kwa kushika mkono wake na kujizungusha kutengeneza duara.
Siyo ngumu jaribu tena utaweza- ili iwe simple tumia mayai mengi
Kwa mpishi yoyote kubalance moto siyo tatizo na uzuri chapati unapika nyingi kwahiyo ukiharibu ya kwanza- unafuta pan yako unabalance moto unaendelea kupika.Uzito wa pan na kiwango cha moto ,vinadetermine pia aina ya chapati inayotoka.
Niliona zinanizingua[emoji38]Nitakufundisha jinsi ya kusambaza vizuri ilete shape duara[emoji23]
Yaani kweli kila mtu ana ubabe wake mahali
Mimi nadhani wanakosea kwenye kuipika.Kwa mpishi yoyote kubalance moto siyo tatizo na uzuri chapati unapika nyingi kwahiyo ukiharibu ya kwanza- unafuta pan yako unabalance moto unaendelea kupika.
Believe me chapati za kukanda wanakoseaga zaidi kwenye ukandaji wenyewe
Pan ya aina gan ni suitableUzito wa pan na kiwango cha moto ,vinadetermine pia aina ya chapati inayotoka.
Aki mwenyewe naona maajabu etiππNiliona zinanizingua[emoji38]
Dada yangu huwa ananicheka anasema mimi ni mtu wa ajabu.
Yaani za kusukuma naweza ila za maji ndio nalalamika siwezi[emoji1787][emoji1787]
Naenda vise versa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Aki mwenyewe naona maajabu eti[emoji23][emoji23]
Ticha naendelea kuchukua somo hapaKwa mpishi yoyote kubalance moto siyo tatizo na uzuri chapati unapika nyingi kwahiyo ukiharibu ya kwanza- unafuta pan yako unabalance moto unaendelea kupika.
Believe me chapati za kukanda wanakoseaga zaidi kwenye ukandaji wenyewe
Nzito.Pan ya aina gan ni suitable
Unakuta chapati imebabuka na haijaiva uwiiππNzito.
Isiyopitisha moto haraka..ili zitoke kama mayai mayai hivi.
Ikiwa pan nyepesi inababua na haziivi vizuri,
Kwanza pan yenyewe itachafuka[emoji846]
Ukipikia kepesi yaani katakubabulia chapati.Unakuta chapati imebabuka na haijaiva uwii[emoji23][emoji23]
Kuna zile pan za wale wamama wanaopika na kuuza chapati, zinaonekana nzitoo ndio maana wanatoaga chapat nzuri nao
Hahahaa hata kuendelea kupika zingine utapata uvivuUkipikia kepesi yaani katakubabulia chapati.
Unakuta tu moshi unasambaa jikoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38]Hahahaa hata kuendelea kupika zingine utapata uvivu
Njoo chukua mjukuu, nikupe anwani ya kufika kwa Babu? πBabu G naomba tu 3 π
Kwa kweli brother, nimejikuta ghafla na nguvu zile nyingine zimerudi kwa kishindo πNguvu za kiume
Mkuu hii ni chapati au mkate usiotiwa chachu?Ukiacha unga ujishike kwa muda kabla ya kusukuma ,zinalainika na kuchambuka[emoji39]View attachment 2008372View attachment 2008373