cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,313
- 187,972
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua umesoma kat ya hii mikoa RUVUMA au IRINGA.Ulanzi nilikuwa naiba kwenye mashamba ya watu kipindi Nipo o level
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua umesoma kat ya hii mikoa RUVUMA au IRINGA.Ulanzi nilikuwa naiba kwenye mashamba ya watu kipindi Nipo o level
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena wanafunz wanaotoka mikoa ya mbali, wanaupenda ulanzi sana,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ulikua mkorofi sana...
Mimi nilikua mwizi wa miwa primary, nilikua na kamba ile ndefu, nafunga mua halafu nafunga na kwenye kiuno ile kamba, nikiondoka hio spidi muwa unanifuata tu...[emoji23][emoji23] mwenye miwa akitoka ndani anaona vumbi tu[emoji1787][emoji1787]
Kuwinda ndege, kuiba maembe, zambarawe, aisee utoto bwana..
Olevel sikufanya hayo matukio kabisa...
Huwezi amini umenikumbusha mbali sana..
Kwanza unachelewa sasa? Lita 1 tyuuh utaanza kuongea kimombo hapo had watu wakushangae, ila ulanzi bhana ukilewa njwiiii lazima uanze kuonesha utofauti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazidi kunipa hamasa ya kuonja ulanzi...
Kwa hio lita 1 nalewa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ulikua mkorofi sana...
Mimi nilikua mwizi wa miwa primary, nilikua na kamba ile ndefu, nafunga mua halafu nafunga na kwenye kiuno ile kamba, nikiondoka hio spidi muwa unanifuata tu...[emoji23][emoji23] mwenye miwa akitoka ndani anaona vumbi tu[emoji1787][emoji1787]
Kuwinda ndege, kuiba maembe, zambarawe, aisee utoto bwana..
Olevel sikufanya hayo matukio kabisa...
Huwezi amini umenikumbusha mbali sana..
[emoji23][emoji23]
Dumla ni kipimo gani hicho?
Inazidi kunipa maswali, Hornet kanambia ni kama bavaria, au zipo za aina mbili..
Anyway hio itabidi niishuhudie mwenyewe naweza kuuliza nikamchukiza mtu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dumla n kipimo flan iv cha lita 4 au kilo 4, sjui wanaita sado, ila kwetu tunaita dumla.[emoji23][emoji23]
Dumla ni kipimo gani hicho?
Inazidi kunipa maswali, Hornet kanambia ni kama bavaria, au zipo za aina mbili..
Anyway hio itabidi niishuhudie mwenyewe naweza kuuliza nikamchukiza mtu...
Kwanza unachelewa sasa? Lita 1 tyuuh utaanza kuongea kimombo hapo had watu wakushangae, ila ulanzi bhana ukilewa njwiiii lazima uanze kuonesha utofauti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi unalewesha saana hata wanzuki au beer haion ndan dea, labda ukute umechanganywa na maji, ila ule halisi usiotiwa chchte lita 1 tyuuh yko kulewa njwiiiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulevi wake ni wa kutafutiza
Ukinywa kiasi haulewi Ila Kama ni beginner lazima alewe
Ulikua unaiba kwenye mbeta zilizowekwa maji, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui ni vile nilikuwa nakunywa wa wizi !
[emoji1787][emoji1787] au nilikuwa sugu [emoji28]
Nilikuwa silewi
Umengalia Dune?No time to die ni best movie 2021, imefunga mwaka... hatari tupu...
Sidhani kama hio red itafika hapa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasema konyagi ameanza kunywa yupo Olevel, huyo sio wa mchezo mchezo..
Umengalia Dune?
Ipo HBO MAXIpo Netflix?
Nimetoka kuangalia Annabel mpaka usingizi umepaa
Ooh vyema ndo unaweza sasa ... Ooh niumepata huo msuko , ulivyo kweli jicho la mwenza [emoji1787] .Japo Co saan, but naweza kw kias chake,
Ni mtindo unaoanza kusuka pemben ya kichwa na kuelekea upande mwngne, ile style ya jicho la husda,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nlijifunza kwa kumuangalia mama, nmeaanza kujfunza tang npo std 5,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi mie nakunywa saana yaan, maan huwa nagema mwenyewe.We ni professional pia yaani unakunywa sado la ulanzi, we noma[emoji23][emoji23]..
Wewe na Hornet mnaweza kula ndoo ya ulanzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni movie imebase kwenye Novel inayoenda na same name.Hapana mkuu, hebu nipe muhtasari..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kashakua expert lol[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasema konyagi ameanza kunywa yupo Olevel, huyo sio wa mchezo mchezo..
Kabisaa yaan [emoji23][emoji23][emoji23]Ulanzi noma..
Zed na double punch [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmekumbka mbali sana.Nilianzia banana nikiwa primary
Nikaja nikaonja gongo ile kitu ni [emoji119]
Sijui wanawezaje
Viroba vya Zed nilipiga sana
Old school friends wakiniona nilivyokuwa formal huwa hawaamini Kama ni mimi yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooh vyema ndo unaweza sasa ... Ooh niumepata huo msuko , ulivyo kweli jicho la mwenza [emoji1787] .