Mr Miyagi
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 935
- 1,668
We si unaona vyombo kabatini vilivyopangiliwa kwa ustadi, kuna bachelor ana huo muda kweli?
Nakazia[emoji23]
We si unaona vyombo kabatini vilivyopangiliwa kwa ustadi, kuna bachelor ana huo muda kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] connector au terminator, hat sielew yaan.Aah dalali Kama dalali [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi ule mbna sio pombe, ila tyuuh unalewesha, yaan unanoga sukari mno, ndo maan wazungu wakaita bamboo juice, lol3yrs mnakosea , nimecheka lakini sio vyema, 3yrs mwili haujakomaa kuweza kufikia hatua ya kupambana na sumu ya pombe...
Wekeni sheria mpaka miaka 18 na asiwe mwanafunzi...
Sijambo, za weweHujambo mamy
Napambana shoo😂😂😍😍 shooo wa motooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nliwah msuka mtu kwa rasta, dadeki nusu niishie njian,Umejitahidi na zimependeza maana ni ndogo ndogo balaa ... mimi kuna misuko sitokuja kusuka kuna mmoja huu unaitwa mwiba wa samaki ni nouma .
Kucha, [emoji7][emoji7][emoji7]
N wa mujibu au wa kujitolea?Tbt, with the boys View attachment 2006013
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc poleeeh,Plan zangu ilikuwa ni kuishi Mwanza,
Maisha yamekuja kunipeleka majiji yenye viwanda vya joto,nivuje jasho bure Mimi [emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana unajua kusuka eeh .. hongera kwa kipaji hicho , Mimi siwezi kukaa muda mrefu ,nachagua style fulani hivi sio complicated .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nliwah msuka mtu kwa rasta, dadeki nusu niishie njian,
Mwingne ni huu wa jicho la mke mwenza af ndogo ndog, unaweza lia kabsaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa mbna km misri? Au macho yangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iv umewaza nn?Weeeee? Utaoa kweli? Au hujapika wewe?
Umejua kuztunza cuzzoh [emoji7][emoji7]Heheee nzuri eeh
Japo Co saan, but naweza kw kias chake,Unaonekana unajua kusuka eeh .. hongera kwa kipaji hicho , Mimi siwezi kukaa muda mrefu ,nachagua style fulani hivi sio complicated .
Hilo jicho la mwenza lipoje yaani kuna misuko .
Kwa kwel zimenoga.Navyozipenda, wacha tu nizitunze vema.. Thank you [emoji4]
Asante sana, nimekaribia.Za mimi njema/salama kabisa mkuu
Karibu
Ulanzi sijawahi hata kuonja, nasikia ukilewa kwa pombe ya kienyeji unaongea kikabila chako...
Ni maamuzi mazuri lakini..
Kwa hivyo haina alcohol?
Hauna alcohol kabisaa, cjui labda ya asili, ila ile n juice inayolewesha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hivyo haina alcohol?