Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkajua wee ulienda, mie nlienda stasahau 250k yangu kala mjeda ili anitoroshe, na hakunitorosha badala yake sasa nilichokipataa Jah anajua yeye tyuuh. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
🤣🤣🤣 nimepata ka picha ka mbali mbali... Pole
 
Haupo mbali na ukweli, mama mtumishi.

Pep ni jina lililokua derived kutoka Joseph, Josep, Yosef, Yasaph, Yehoseph ama Yusuf.

Linatumika zaidi na watumishi wenzetu wa pale Catalonia/Katalunya nchini Spain.

Kwanini nalitumia basi?

Moja ni kwasababu jina langu linatokea kwenye hiyo list hapo juu

Lakini pia, Josep Guardiola (arguably the most decorated football coach alive) maarufu kama "Pep" ni role model wangu kwenye ualimu wa soka.

Ameni inspire kwenye mengi, ikiwemo kufanya badges za football management & coaching

Nje ya utumishi, nikiweka Tenzi za Rohoni pembeni, huwa nafundisha watoto some basics za footbal.

__________________________

Mtumishi mwenzangu avatar yako imependeza sana.

Watumishi wenzangu hapa kwenye huduma wameniambia huyo hapo atakua Miss Tanzania.

Wanasisitiza hilo ni confirmed, bado tu announcement.

Embu nipe mwongozo, hiyo picha ni ya mtumishi mwenzetu yupi?
Nimefurahi kwa ufafanuzi huu mzuri baba mtumishi.

Niliwahi soma mahala uliandika unapenda sana mpira.
Kumbe ndio maana kifuani si haba[emoji6]
Japo sikuweza kuhusianisha hii id yako na jina lako.

Nina imani utanifundisha na mimi mpira baba mtumishi.

Baba mtumishi,hiyo avatar ni ya binti mlima viazi huku Mbeya ndanindani anaitwa Anne.
Hao wenzio wamekudanganya baba,au wana makengeza[emoji38]
Miss tz anakuwaga rough rafu hivyo kweli baba?[emoji1787][emoji1787]

Nimesikitika baba umekuja na maelezo mengi mazuri ila umesahau kipande Cha picha yako ya sura[emoji30]
Tafadhali baba,usije kunifanya nikuombe picha kwa machozi[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimepata ka picha ka mbali mbali... Pole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza kule n mateso tyuuh, eti uzalendo, uzalendo ya nyokooooh, msieeeew.
Kutesa watoto wa watu tyuuh, sasa huruma wale wa kujitolea ajira hawapat na KO wanakula za kutosha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna vijana walikuwa wanapiga michongo hawaendi. Wakatishwa mtakuwa hamuajiriwi. Weeee mjini connection aiseeee
 
Nimefurahi kwa ufafanuzi huu mzuri baba mtumishi.

Niliwahi soma mahala uliandika unapenda sana mpira.
Kumbe ndio maana kifuani si haba[emoji6]
Japo sikuweza kuhusianisha hii id yako na jina lako.

Nina imani utanifundisha na mimi mpira baba mtumishi.

Baba mtumishi,hiyo avatar ni ya binti mlima viazi huku Mbeya ndanindani anaitwa Anne.
Hao wenzio wamekudanganya baba,au wana makengeza[emoji38]
Miss tz anakuwaga rough rafu hivyo kweli baba?[emoji1787][emoji1787]

Nimesikitika baba umekuja na maelezo mengi mazuri ila umesahau kipande Cha picha yako ya sura[emoji30]
Tafadhali baba,usije kunifanya nikuombe picha kwa machozi[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam mama mtumishi.

Sitakufundisha tu, bali tutaucheza pamoja.

Nina reputation ya ku spot talents za mpira, kama ambavyo naweza ku spot ma Miss

Mwambie huyo mtumishi mwenzetu nimem spot.

Usisite kumfahamisha kwamba she is the most gorgeous thing I have seen the whole week.

Picha ntaweka mama mtumishi. Wacha kwanza vijana wa mataga waende kulala
 
Kuna vijana walikuwa wanapiga michongo hawaendi. Wakatishwa mtakuwa hamuajiriwi. Weeee mjini connection aiseeee
Kwanz hata waana ajiriwaa sasa? Mbna wamejazan mtaan kibao wanazurura km majitu ya ki Bush man, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nakerekwa San nkikumbka yaan 250k imeliwa iv iv,yule mbwa atailipia tyuuh pesa yangu haitaenda bureeeh,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
OBJECTION, hiyo ni fact Mpya kuhusu Saguda47 kukataa kuweka picha yake jamvini.
Sio kweli mheshimiwa jaji. Hili liko wazi, hata kwenye kesi ya Mshana Jr dhidi ya wazee wa kuselfika lilizungumziwa na wakakubaliana kwamba mtu akikataa kuweka picha asemwe tu hadharani.

Saguda alikataa kuweka picha, na ndio maana hatujaiona hapa. Hivyo hii sio fact mpya mheshimiwa jaji.

Ki msingi, pingamizi la mwenzangu wa upande wa utetezi halina mashiko.
 
Naam mama mtumishi.

Sitakufundisha tu, bali tutaucheza pamoja.

Nina reputation ya ku spot talents za mpira, kama ambavyo naweza ku spot ma Miss

Mwambie huyo mtumishi mwenzetu nimem spot.

Usisite kumfahamisha kwamba she is the most gorgeous thing I have seen the whole week.

Picha ntaweka mama mtumishi. Wacha kwanza vijana wa mataga waende kulala
OBJECTION: Wakili anamuelekeza shahidi "wakacheze mpira". Hii haihusiani na kesi yetu ya msingi ya "kuselfika"
 
Back
Top Bottom