Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naam mama mtumishi.

Sitakufundisha tu, bali tutaucheza pamoja.

Nina reputation ya ku spot talents za mpira, kama ambavyo naweza ku spot ma Miss

Mwambie huyo mtumishi mwenzetu nimem spot.

Usisite kumfahamisha kwamba she is the most gorgeous thing I have seen the whole week.

Picha ntaweka mama mtumishi. Wacha kwanza vijana wa mataga waende kulala
Tutacheza mpira lini baba?
Au ndio hadi Mbinguni??

Kumbe mama Mtumishi amekaa kimiss eeh?
Baba unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
Asante baba Mtumishi kwa sifa hizo.

Ni saa nzima baba nakuomba picha,mambo yasiwe mengi na mengi yasiwe mambo,
Weka picha tufunge huu mjadala.
Mataga washalala baba
Silali leo bila picha ya sura yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom