Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante baba.
Kumbe kifuani si haba pia baba[emoji847]

Nasubiri sura baba,
Unamnyima mama mtumishi kweli?
Nimecheka kwa nguvu mtumishi mwenzangu 🤣🤣🤣

Kama ilivyokwisha kuandikwa, basi sitakunyima mama mtumishi.

Unadhani sura imebadilika kuliko ile niliweka siku ile?
 
Basi bana kuna day miaka hiyo nilienda zahanati moja hivi ya serikali, nikajimaliza kwa Dokta then akanipa karatasi ya kwenda nayo maabara.

Kipimo alichoandika hakisomeki wala sikukielewa ko sikushughulika nacho sana, kufika nikaenda kabidhi ile kadi kusubiri kuitwa. Yule attendant akauliza umetoka kwa Dr. Room na 3 nikamwambia ndio, yule dada akajiongelesha ' ana nini huyo leo mbona karibia watu wote anawaleta huku?

Nikashtuka kidogo ila sikuongea nikarudi kukaa kwa viti, basi nikakaa karibu na mdada wa saizi yangu akili ikaniambia muulize kaandikiwa kipimo gani.
Kuuliza akanijibu kipimo sawa na nilichoandikiwa tena akaongeza 'unajua ni kipimo cha HIV hiki? Nikamwambia hata sijui, basi nikagoogle chap nikaona ni bla bla za HIV. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikamuaga yule dada nikamwambia siwezi poteza muda wangu hapa maana nilivyojimaliza kwa DR na hiki kipimo sioni koneksheni yoyote [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikasepaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka San my wiii,
 
PGO my foot [emoji23][emoji23] hebu do the needful..
Hawa hapa wazalendo wenzako! Wamepigwa doso la maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CollageMaker_20211111_203750145.jpg
 
Nimecheka kwa nguvu mtumishi mwenzangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama ilivyokwisha kuandikwa, basi sitakunyima mama mtumishi.

Unadhani sura imebadilika kuliko ile niliweka siku ile?
Ile uliificha sana baba.
Leo iweke wazi mama mtumishi afurahi.

Kweli wewe ni wa kunificha vile picha yako baba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hapa wazalendo wenzako! Wamepigwa doso la maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2007259
🤣🤣🤣 alooooh.
Wamujibu doso halikoleagi nazi asee.

Wale wenyewe bana 🤣🤣 mnakula doso mpaka Me na Ke wote wanafanana.

Sasa hapo naona warembo kibao.

Nimekuangaza sijakuona...
 
Ile uliificha sana baba.
Leo iweke wazi mama mtumishi afurahi.

Kweli wewe ni wa kunificha vile picha yako baba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nta blow cover mama mtumishi.

Wacha nijizoeze kutoku comment tena kule jukwaa la siasa.

Halafu sasa ntarudi hapa kuweka kila kitu, hadi original name ya Pep ambayo pengine unafahamu tayari kwamba ni Josep
 
Nta blow cover mama mtumishi.

Wacha nijizoeze kutoku comment tena kule jukwaa la siasa.

Halafu sasa ntarudi hapa kuweka kila kitu, hadi original name ya Pep ambacho pengine unafahamu tayari kwamba ni Josep
Wacha baba[emoji847]Kumbe wewe ni Joseph!?
Sikujua hili!
Nilijiuliza sana maswali kuhusu hili jina lako.


Hebu fanya hima baba uweke japo kipande cha sura hapa.
Nikija PM nitakuomba nyingi sana baba,
Tafadhali baba sikia ombi langu usiku huu,
Sema neno moja,likifuatiwa na picha chini,mama mtumishi apate kubarikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom