Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijambo.

Nimeona unapita kimya,nikaona nikusalimie.


Nakumbusha kwamba usisahau zawadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli safari hii siwezi kukusahau.

Ningekuletea glass ambayo imetengenezwa pure kwa kutumia alabaster but ndio hivyo ten.

Utapata kitu chengine usijali mdogo wangu mwenyewe.
 
Nyie hili song lina vybe,, mm sio mrusi lakn goma had moyoni linapenya kama laser

Sing to the Motherland, home of the free,
Bulwark of peoples in brotherhood strong.
O Party of Lenin, the strength of the people,
To Communism's triumph lead us on!View attachment 2007263
Mbona kumkumbusha cocastic mambo ya cold war. 😂
 
Asante Facebook for reminding me I'm old now 🙄🤓
20211111_211319.jpg
 
Wacha babaKumbe wewe ni Joseph!?
Sikujua hili!
Nilijiuliza sana maswali kuhusu hili jina lako.


Hebu fanya hima baba uweke japo kipande cha sura hapa.
Nikija PM nitakuomba nyingi sana baba,
Tafadhali baba sikia ombi langu usiku huu,
Sema neno moja,likifuatiwa na picha chini,mama mtumishi apate kubarikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haupo mbali na ukweli, mama mtumishi.

Pep ni jina lililokua derived kutoka Joseph, Josep, Yosef, Yasaph, Yehoseph ama Yusuf.

Linatumika zaidi na watumishi wenzetu wa pale Catalonia/Katalunya nchini Spain.

Kwanini nalitumia basi?

Moja ni kwasababu jina langu linatokea kwenye hiyo list hapo juu

Lakini pia, Josep Guardiola (arguably the most decorated football coach alive) maarufu kama "Pep" ni role model wangu kwenye ualimu wa soka.

Ameni inspire kwenye mengi, ikiwemo kufanya badges za football management & coaching

Nje ya utumishi, nikiweka Tenzi za Rohoni pembeni, huwa nafundisha watoto some basics za footbal.

__________________________

Mtumishi mwenzangu avatar yako imependeza sana.

Watumishi wenzangu hapa kwenye huduma wameniambia huyo hapo atakua Miss Tanzania.

Wanasisitiza hilo ni confirmed, bado tu announcement.

Embu nipe mwongozo, hiyo picha ni ya mtumishi mwenzetu yupi?
 
Back
Top Bottom