donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
#NP Faraja - Lady Jaydee
Basi bana kuna day miaka hiyo nilienda zahanati moja hivi ya serikali, nikajimaliza kwa Dokta then akanipa karatasi ya kwenda nayo maabara.View attachment 2006918
View attachment 2006921
Tuendelee kukumbushana umuhimu wa kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Kama una mpenda, utamlinda 👊💪💪
Nile firigisi? Kwani wings na breast zitakuwa zililiwa na mpishi au??!View attachment 2006976
Hata kama mlinimiss ndiyo mnichinjiye Kuku mzima Wazee?😋😋😋
Wangekuwa rafiki zangu Heaven Sent na shostiake Depal wangeishia kula firigisi tu then wangesema wameshiba, Mimi huyo Kuku aliisha😂😂
pamoja mkuu..Ni kweli , wanajitahidi kulenga watu wengi zaidi..
Thanks mkuu...
Kwahiyo ulikacha kipimo siyo?Basi bana kuna day miaka hiyo nilienda zahanati moja hivi ya serikali, nikajimaliza kwa Dokta then akanipa karatasi ya kwenda nayo maabara.
Kipimo alichoandika hakisomeki wala sikukielewa ko sikushughulika nacho sana, kufika nikaenda kabidhi ile kadi kusubiri kuitwa. Yule attendant akauliza umetoka kwa Dr. Room na 3 nikamwambia ndio, yule dada akajiongelesha ' ana nini huyo leo mbona karibia watu wote anawaleta huku?
Nikashtuka kidogo ila sikuongea nikarudi kukaa kwa viti, basi nikakaa karibu na mdada wa saizi yangu akili ikaniambia muulize kaandikiwa kipimo gani.
Kuuliza akanijibu kipimo sawa na nilichoandikiwa tena akaongeza 'unajua ni kipimo cha HIV hiki? Nikamwambia hata sijui, basi nikagoogle chap nikaona ni bla bla za HIV. 🤣🤣🤣
Nikamuaga yule dada nikamwambia siwezi poteza muda wangu hapa maana nilivyojimaliza kwa DR na hiki kipimo sioni koneksheni yoyote 🤣🤣🤣 nikasepaa.
Wale jamaa wapo vizuri wanatake time ya kujiandaa, na sometimes inawabidi hata wapitia mafunzo ili kuandaliwa movie yenye ubora. Movies nyingi za science wanakuwa na mwanasayansi ili kuweza kutoa movie ambayo ipo sahihi na inaendana na kanuni za kisayansi.Sure sema 2021 uongo mbaya, movie kali ni chache sana...
Halafu wenzetu wapo serious na kazi asee, nimecheki hii no time to die kumbe wameanza kuitengeneza 2016? Duh nimeshangaa, yaani 5 yrs mtu anatengeneza filamu ya 2hrs, nimejifunza kitu hapo..
Nani sasa akae kusikiliza zile 'upo tayari kupokea majibu yako?Kwahiyo ulikacha kipimo siyo?
Dada purisika nipunguzie nyama...
We mtoto mkaaali upo!Nani sasa akae kusikiliza zile 'upo tayari kupokea majibu yako?
You were very much missed mama mtumishi. Ndo maana nikasema nije hapa jamvini kukuona.Sijambo baba.
I missed you baba
Mbona unapotea hivyo?
Kwani baba mtumishi;na wewe upo kwenye kundi la 1990 naa??![]()
Nipo, mambo yako?We mtoto mkaaali upo!
Uliona Bwana Daktari anataka kukupima ugonjwa ambao hukuwa nao, kwahiyo ukalala mbele 😂😂Basi bana kuna day miaka hiyo nilienda zahanati moja hivi ya serikali, nikajimaliza kwa Dokta then akanipa karatasi ya kwenda nayo maabara.
Kipimo alichoandika hakisomeki wala sikukielewa ko sikushughulika nacho sana, kufika nikaenda kabidhi ile kadi kusubiri kuitwa. Yule attendant akauliza umetoka kwa Dr. Room na 3 nikamwambia ndio, yule dada akajiongelesha ' ana nini huyo leo mbona karibia watu wote anawaleta huku?
Nikashtuka kidogo ila sikuongea nikarudi kukaa kwa viti, basi nikakaa karibu na mdada wa saizi yangu akili ikaniambia muulize kaandikiwa kipimo gani.
Kuuliza akanijibu kipimo sawa na nilichoandikiwa tena akaongeza 'unajua ni kipimo cha HIV hiki? Nikamwambia hata sijui, basi nikagoogle chap nikaona ni bla bla za HIV. 🤣🤣🤣
Nikamuaga yule dada nikamwambia siwezi poteza muda wangu hapa maana nilivyojimaliza kwa DR na hiki kipimo sioni koneksheni yoyote 🤣🤣🤣 nikasepaa.
Bana kuna mambo hata kama una uhakika nayo Ila kunakuwa na kijihali flani hivi 🤣🤣🤣Uliona Bwana Daktari anataka kukupima ugonjwa ambao hukuwa nao, kwahiyo ukalala mbele 😂😂
I real enjoyed the food though walipika kijijini kijijini 😋Nile firigisi? Kwani wings na breast zitakuwa zililiwa na mpishi au??!
Kuku la kienyeji kabisa, enjoy mkuu.
Speed za kienyeji ngumu mno, siwezani nazo 😂😂😂I real enjoyed the food though walipika kijijini kijijini 😋
Kesho nitapita mitaa ya kwenu nikuletee miguu ya kuku iliyobaki 😂🙈🏃🏃🏃🏃
Hahahaha.....una nifurahisha mjukuu 😂Bana kuna mambo hata kama una uhakika nayo Ila kunakuwa na kijihali flani hivi 🤣🤣🤣
Baba mtumishi kumbe bado kijana namna hiyo eeh!!You were very much missed mama mtumishi. Ndo maana nikasema nije hapa jamvini kukuona.
Mambo kidogo yanakua mengi lakini nipo sawa.
__________________________________
Sina shaka unafahamu mwokozi wetu Yesu alianza huduma akiwa miaka ngapi, sasa ongeza 1 hapo.
Huo ndo umri wa mtumishi mwenzako.
Basi nitakuletea wings ili ukila uwe na uwezo wa kuruka kama bombardier 😂Speed za kienyeji ngumu mno, siwezani nazo 😂😂😂
Dada purisika nipunguzie nyama...