Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20211108_164750.jpg
IMG_20211108_164911.jpg

Matumbo hayana adabu, yanatuhangaisha kuyatafutia kila siku pasipo kuridhika.

Kwa kweli Mbinguni tutafika tumechoka sana
 
Kwa kuwa amehitimu Chuo mwaka 2019 manake atakuwa amezaliwa mwaka 1996.

Akibisha nitamuitia wale mabinti aliocheza nao ukuti ukuti waje wathibitishe [emoji1][emoji1]

Saint Anne
[emoji23][emoji23][emoji23]

Chuo ndio kitu gani mkuu. ?

Niliishia fom fooo,nikazungusha yai langu nikaenda kukaanga nyumbani.
 
Ulanzi sijawahi hata kuonja, nasikia ukilewa kwa pombe ya kienyeji unaongea kikabila chako...

Ni maamuzi mazuri lakini..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda komoni,na myakaya, ila ulanzi huongei chchte,
Had wanafunz wanakunywa na unanoga sukari, ila unalewa sana hahah, waliosoma au kuish songea wanajua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Chuo ndio kitu gani mkuu. ?

Niliishia fom fooo,nikazungusha yai langu nikaenda kukaanga nyumbani.
Uzuri wake nimebahatika kuonana na wale mashosti zako wa utotoni akina Mary, Atuganile na Princess.

Ukiendelea kubisha nitawaita wakuelezee mlicheza Kimama Mama mwaka gani 😀😀
 
[emoji54][emoji54][emoji54]
Kumbe mianzi ina sukari? Hio mbeta ndio nini? Nipe elimu hapo
Mbeta n vipande vya mianzi inachongwa km umbo la jagi, ila lenyew haliwekew kale kadudu ka, kutiririsha maji, inakua round, ila inatobolewa kat kat tundu la kupitishia ulanz ktok kweny muanz,
Huo muanzi unakua umekomaa na unakua na maji, sasa yakishakua meng yanatiririka ktk mbeta ukichelewa kuyatoa yanakauka au yanapungua,

Ulanzi mtamu hatareeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom