Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Karibu sana.

Nataka nirudi nikalime,mvua zimeanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli, wengne tumekimbia kulima.

Ila cc fanya mpango uende mwanza, jaman pazuri kule sehem, mie nlkua mwanza field miez 2,yaan nmekula samaki wa kila aina,nmezurura ziwa victoria,nlipiga maphoto kibao, lahaulaah cm enyew ikaibwa,[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan ngekua natupia mapicha humu kila mda,daaah [emoji24][emoji24][emoji24]

Ila,mwanza pazur mno, field ijayo natak niende Mbeya nkajionee maisha rahs. Na utanipokeaa wee cc.
 
Me mtoto wa kike [emoji30] unaniita mkuu ili iweje?
Sikujua kama wewe ni mtoto wa kike maana hii jamiiforum ni shida/tabu tupu

Unaweza dhani Depal ni wa kike kumbe ni msera/jamaa fulani hivi na ndevu/sharubu zake[emoji3]

Hujambo mtoto wa kike mzuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli, wengne tumekimbia kulima.

Ila cc fanya mpango uende mwanza, jaman pazuri kule sehem, mie nlkua mwanza field miez 2,yaan nmekula samaki wa kila aina,nmezurura ziwa victoria,nlipiga maphoto kibao, lahaulaah cm enyew ikaibwa,[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan ngekua natupia mapicha humu kila mda,daaah [emoji24][emoji24][emoji24]

Ila,mwanza pazur mno, field ijayo natak niende Mbeya nkajionee maisha rahs. Na utanipokeaa wee cc.
Mmmmmmmmmmh
 
Depal kipenziiih weka sekfie yako 1,nafsi yangu ipate kupona, my wiii, [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Kulikuwa na ugumu gani kunambia kama upo/ulikuwa mwanza tukaonana na nikawa mwenyeji wako?

Anyway!!

Habari za siku/kwema
Duuuh kichwa chenyew kibovu hiki, na kna mambo mengi nlishahau, nahic tungeonan tyuuh, kuhus mwenyeji nlishakua nae.
JAH akpenda nkfka tym nyngne ntakustua.
Mie kwema sjui wee
 
Duuuh kichwa chenyew kibovu hiki, na kna mambo mengi nlishahau, nahic tungeonan tyuuh, kuhus mwenyeji nlishakua nae.
JAH akpenda nkfka tym nyngne ntakustua.
Mie kwema sjui wee
Sawa

Niko poa/salama kabisa

Karibu
 
Ahsante kwa kunitobolea siri.

Natilia mkazo [emoji1787][emoji1787]
Anakudanganya huyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena nicheke kwanzaa.
Wanaume wa sahv hawatoi hela, na wakiombwa wanatak mkopo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom