Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na wazee wote mbarikiwe... NSSF zenu zisichelewe jamani.

Watoto wazuri huko Royal Village wanazisubiri
Ameen mwali wangu

Nitumie address yako nikutumie ATM Card zangu ufanye matumiz ya miezi mitatu kabla hawa wa Royal Village hawajazimaliza.

Sisi Wazee tunapenda mabinti teketeke kama ulivyo 😋🙈
 
Shusha hapo
Wazee wa 35+ wawe na siku njema
Hao chini ya 35 lolote liwakute [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ktk haraakat zang km dalali 35 - 40 bado haijanielewa, japo namilik chin ya 35,ila mambo bum bum,

Cocastic ukorofi, dalali uwe wewe na pesa uchukue wewe, si wengine kutufanyaje? Aah ukorofiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda wazee, ila 20 - 40, hawatoi hela hata, mda wte "kna mchongo nauskilizia" ila nyege zao mchongo hauziskilizii lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha....
Kwamba nyege zao?[emoji101]

Kwa kweli mimi huwa natoa hela mno kwa demu/mwanamke hasa akiwa umejariwa magonjwa/ugonjwa wangu nyemelezi.
 
Back
Top Bottom