cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,998
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuu, wee unywe bia, au shem palla kakufundsha?Piga vyombo dogo[emoji1787]
Bia inanenepesha,dadako nimenenepa kitambi cha bia[emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuu, wee unywe bia, au shem palla kakufundsha?Piga vyombo dogo[emoji1787]
Bia inanenepesha,dadako nimenenepa kitambi cha bia[emoji2960]
Kujipikia ni gharama zaidi hasa chakula cha mtu mmoja ila mimi huwa nachanganya vyote nikiwa na muda huwa napika.Kumbe ukiwa Msela/Mseja (Bachelor) unaweza kutenga bajeti ya shilingi 60,000 ikatosha kula mwezi Mzima.
Next time jaribu kupiga hesabu za kujipikia nyumbani uone ipi inaweza kusaidia kufanya servings i.e Mamantilie au Kujipikia
Duuuh ndo tatzo hilo sasa.Mazingira mengine yana option hiyo tu.
Kuna malegendary washanifundisha[emoji846].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuu, wee unywe bia, au shem palla kakufundsha?
That's very true, kuna serving kubwa inafanyika kwa kula Mamantilie than Kujipikia ingawa lazima uji limit kwenye bei.Kujipikia ni gharama zaidi hasa chakula cha mtu mmoja ila mimi huwa nachanganya vyote nikiwa na muda huwa napika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna anapiga sana vyombo yule, ila humu kiboko n Hazard CFC km pombe tyuuh anakunywa wee.Kuna malegendary washanifundisha[emoji846].
Shem wako mzembe, alishindwa kunifundisha.
Af weekend natak tuonane, usje rud green city sjakuona, au bado upo upo saan hapa mjin.[emoji852]ndio mji wenu huo
Kwa kuwa amehitimu Chuo mwaka 2019 manake atakuwa amezaliwa mwaka 1996.
Akibisha nitamuitia wale mabinti aliocheza nao ukuti ukuti waje wathibitishe [emoji1][emoji1]
Saint Anne
Nikifululiza kula hivi week tu nitapata ilo shavu mpk nione aibu kupiga selfieBORA UHAI
View attachment 2005604
Ukifululiza kula hivi week tu utapata shavu la wapi/sehemu gani?[emoji3]Nikifululiza kula hivi week tu nitapata ilo shavu mpk nione aibu kupiga selfie
Saint Anne aione kwenye jalada 😀basi mdogo kwangu aniamkie na magoti kabisaa
Shavu la usoni.Ukifululiza kula hivi week tu utapata shavu la wapi/sehemu gani?[emoji3]
Nauliza tu
Bora ubaki hivyo hivyo, ukiongezeka utakuwa mvivu kucheza bilingo bayoyo 😄Nikifululiza kula hivi week tu nitapata ilo shavu mpk nione aibu kupiga selfie
Alisema hataki dhambi ya kunifundisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna anapiga sana vyombo yule, ila humu kiboko n Hazard CFC km pombe tyuuh anakunywa wee.
Karibu sana.Af weekend natak tuonane, usje rud green city sjakuona, au bado upo upo saan hapa mjin.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Alisema hataki dhambi ya kunifundisha
Ughonile nkamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi mdogo kwangu aniamkie na magoti kabisaa
🤣🤣🤣 najitahidi kwa kweli.Bora ubaki hivyo hivyo, ukiongezeka utakuwa mvivu kucheza bilingo bayoyo 😄