Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Abakudanganya huyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena nicheke kwanzaa.
Wanaume wa sahv hawatoi hela, na wakiombwa wanatak mkopo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja aje kujitetea 🤣🤣🤣 unajua huyo jamaa ni kitengo kule tiiaraei?
 
Ahsante kwa kunitobolea siri.

Natilia mkazo 🤣🤣
Nitakuwa nimetengeneza ugomvi na jamaa zetu UWABATA.

Anyways, sisi Wazee tunamalizia pension zetu, kwahiyo hatujali kukukabidhi ATM card zetu 😀
 
Ngoja aje kujitetea [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua huyo jamaa ni kitengo kule tiiaraei?
Wee my wiii usiamshe vinyweleo vyangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan nkiona mtu wa tiaraaeiii, akili inavurugika ujue? Ninawaza pesa tyuuh, had najihis n mchagga kbsaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena kwa kila ktu.
 
Nitakuwa nimetengeneza ugomvi na jamaa zetu UWABATA.

Anyways, sisi Wazee tunamalizia pension zetu, kwahiyo hatujali kukukabidhi ATM card zetu 😀
Na wazee wote mbarikiwe... NSSF zenu zisichelewe jamani.

Watoto wazuri huko Royal Village wanazisubiri
 
Wee my wiii usiamshe vinyweleo vyangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan nkiona mtu wa tiaraaeiii, akili inavurugika ujue? Ninawaza pesa tyuuh, had najihis n mchagga kbsaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena kwa kila ktu.
Ndio nishakutobolea hivo 🤣
 
Na wazee wote mbarikiwe... NSSF zenu zisichelewe jamani.

Watoto wazuri huko Royal Village wanazisubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iv wii unajua nkiona comment yako full burudaan, wazee waanaliwa pesa na wadent wa chuo had Co poaaah,
Na zisichelewe, dalali mie nisife njaa. Weuweeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7], hapa kaka angu salary yote itaishia mikonon kwako, tena ataktuma ukachukue mwenyew ATM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😘😘😘 weuweee
What a profitable babe 🤣🤣🤣

Mwambie napenda hela sana 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iv wii unajua nkiona comment yako full burudaan, wazee waanaliwa pesa na wadent wa chuo had Co poaaah,
Na zisichelewe, dalali mie nisife njaa. Weuweeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 we mtoto

Ati dalali usikufe njaa.
 
Labda wazee, ila 20 - 40, hawatoi hela hata, mda wte "kna mchongo nauskilizia" ila nyege zao mchongo hauziskilizii lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shusha hapo
Wazee wa 35+ wawe na siku njema
Hao chini ya 35 lolote liwakute 🤣
 
Back
Top Bottom