Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo kuna historia ya maisha! Tafiti vingi hasa maendeleo yamefikaje, tufahamu namna ya kusaidia Tanzania.
Nikisema hapa wakulungwa watanishambulia.

La kwanza kabisa, jamaa wanalipa kodi na serikali imekuwa kali sana kwenye kodi. Marufuku kwa Egyptian kutumia foreign currency, Sisi huko tunaona sifa ukiwa na vijidola vyako.

Magufuli alipozipiga pini bureau de change kelele uliziskia bro. Kiufupi Tanzania ina fursa nyingi sana za kutoboa kabla serikali haijagangamala.
 
Bado sijaangalia the "eternals" but this is the best movie this year can offer hadi now,,

Nadhani Kingsman na Red notice znaweza fanya vizuri kuliko hii
IMG_20211109_212817_571.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This bitch got me payin' her rent, payin' for trips
Diamonds on her neck, diamonds on her wrist
And here I am all alone (All alone)
I'm so cold, I'm so cold
You got me out here

Smokin' out the window (Smokin' out the window)
Singin' "How could she do this to me?"
(How could she do this to me?)
I thought that girl belonged to only me
But I was wrong
'Cause she belong to everybody, everybody

Nadhan they are the best group for this year

Dedication kwa my ex kama yumo humu
ab67616d0000b2736f9e6abbd6fa43ac3cdbeee0.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisema hapa wakulungwa watanishambulia.

La kwanza kabisa, jamaa wanalipa kodi na serikali imekuwa kali sana kwenye kodi. Marufuku kwa Egyptian kutumia foreign currency, Sisi huko tunaona sifa ukiwa na vijidola vyako.

Magufuli alipozipiga pini bureau de change kelele uliziskia bro. Kiufupi Tanzania ina fursa nyingi sana za kutoboa kabla serikali haijagangamala.
Ikimaliza tour andaa thread nyepesi tu tupate kujifunza mengi na kujadili yaliyomuhimu kwa mustakabal wa taifa na watu wake.
 
Back
Top Bottom