Selfika na JF: Snap it. Show it

nmecheka had kupaliwa, hiyo paragraph ya mwanzo.
 
Kna dhehebu flan wao wanavaa sket za marinda tyuuh, jina silijui vzur, sjui UWATA au sjuiEFATHA
UWATA hao bila Shaka.

Ila me sipo huko, hizi nilinunua 7bu zimekaa kiheshima somehow hata kwa desk church ukikaa hazijivuti magoti yakabaki wazi.
 
Na bado mnaendelea kuzungukiapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…