Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,594
- 13,422
Barida
Barida
Insta na YouTube zinatosha tu unakuwa unajipikilisha ukipata time
Jana nimekopy recipe kwa shuna’s kitchen Ila nikaongeza spices ilikuwa so yummy
View attachment 1999234


Insta na YouTube zinatosha tu unakuwa unajipikilisha ukipata time
Jana nimekopy recipe kwa shuna’s kitchen Ila nikaongeza spices ilikuwa so yummy
View attachment 1999234
Alamba alamba...Insta na YouTube zinatosha tu unakuwa unajipikilisha ukipata time
Jana nimekopy recipe kwa shuna’s kitchen Ila nikaongeza spices ilikuwa so yummy
View attachment 1999234
Jitahidi tu mkuu, utafanya perfection ila sikushauri uende cocking class, ila uende cooking classUnajua bhana , naonaga selfie za pilau zako ..
mimi mwenyewe begginer, natamani niende hata cooking class nipate maarifa zaidi .
Nambie mlongo, muc u xaan
Wow thanks ... ni ndoto yangu kuwa chef .Jitahidi tu mkuu, utafanya perfection ila sikushauri uende cocking class, ila uende cooking class
Nimeumia San kwa kwel,Kuna dogo alidakwa halafu mwaka wa mwisho, alilia kama mtoto. Akawa anasema wazazi wake wameteseka sana kumsomesha kwa taabu na ni masikini yeye ndio wanamtegemea maana kwenye familia nzima yeye ndio ana unafuu. Lakini mwalimu hakumuelewa, haki niliumiaaaa.
Tunamuuliza, "kama unayajua hayo ni kwanini uingie na karatasi?" akawa anamlaumu tu shetani. Ikawa ndio basi tena!




Yaani dogo alilia kama mtoto huku kakaa chini. Lakini ndio ikawa basi tenaNimeumia San kwa kwel,![]()

Umuenzi kwa kujifunza uchefMama yangu alikuwa chef hatari ,sijui kwa nini sikujifunza wakati yupo dah ...
Maskin alipoteza ndoto zake zote,Yaani dogo alilia kama mtoto huku kakaa chini. Lakini ndio ikawa basi tena![]()


nmeumia mnoohMungu anisaidie

Aliumiza wengi maana maisha yake Mungu ndio alikuwa anajua. Hilo boom ndio alikuwa anagawana na wazazi ili maisha yasonge imagine!!Maskin alipoteza ndoto zake zote,nmeumia mnooh
Alivyokuwa anaingia na karatasi hakujua kama Kuna kukamatwa?Nimeumia San kwa kwel,![]()