Selfika na JF: Snap it. Show it

Tubadilishane bas cc, kusoma mchezo? Miaka na iende jomonee, khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea chuo weyeeeh, lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie khaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] skuwez wee cc, hapa mbavu cna mie lol
 
Mwanafunzi bora. It depends na class paper inafanyikia, lecture theater na ule mpangilio wa viti kuibia utakamatika maana unakuta wasimamizi ni 2+

Ila hizi class 'kama uliyopost [emoji23] nikikaa nikapandisha skirt nani atajua? Na msimamizi ni 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee cc n kibokoooh lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee shibisha nafsi[emoji23]
 
Inahitaji ujasiri sana, sikuwahi kuweza na sidhani kama nitakuja kuweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…