Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,155
- 101,116
Nakuona ukielekea masomoni mdogo wangu😁Hazipo madukani ya kawaida , Kuna duka special nanunua boksi zima , rejareja nilikuta mitaa ya posta inauzwa mona buku lol😎
Nazipenda ziko unique kimuonekano na muandiko.
Hii blue 💙 View attachment 3694050
Hapa nikiwa na black 🖤
View attachment 3694051
Hizo kalamu nimetumia primary tulikuwa tunazipenda mno darasa letu!