Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Never mend a broken heart
FB_IMG_1635946328748.jpg
 
[emoji3590] SOMA NENO LA MUNGU[emoji3590]

[emoji433] Mhubiri 7 : 8 -11

[emoji419]8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi.

[emoji419]9 Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.

[emoji419]10 Usiseme, Kwani siku za kale kupita siku hizi? Maana si kwa hekima uulizavyo neno hilo.

[emoji419]11 Hekima ni njema, mfano wa urithi; Naam, nayo ni bora kwao walionao jua.

[emoji120][emoji3590] Mbingu Ipo[emoji3590][emoji120]
Wachawi mkiokoka huwa mnakuwa washika Neno wazuri sana. Thenki yu Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom