Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umechelewa sana. Sogea karibu huku upepo unapovuma. Hukosi walau kibanda. Huko njombe utaambulia kuongwa gunia la viazi na mkungu wa ndizi. Pengine na debe la parachichi mbichi
Kwahiyo mnawasema wanaume wetu wa mbeya wenye parachichi
Wapi huko wanawahonga nyumba watu wenye natural hair??
Na mimi niende kujaribu bahati Yangu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chaliifrancisco ratiba yako ya saa1 imenishinda.
IMG_20211102_201434_6.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, kumbe ni Mbeya? Hapo ukipambana sana utaambulia CD ya kwaya kutoka kwa akina Mwansasu, Mwaitege na mwakasege. Njoo hapa daslama mrembo. Utu tu IST tu passo passo na vitz ndo kima cha chini. Ex RC wetu alitoa huo mwongozo.
Kumbe huko daslamu tu passo tupo nje nje eeh?
Ni mitaa gani hiyo mkuu,nielekeze ili nikifika Daslamu na natural hair nikajaribu bahati Yangu ya kapasso.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom