Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,463
- 7,078
Mselfie wa kindewa,,,,,,
Hapo sio njaa. Hebu kunywa glass ya maji halafu niambie.
Mimi mvivu kunywa maji.Hapo sio njaa. Hebu kunywa glass ya maji halafu niambie.
Ni tatizo hilo pia. 😟😟
Nyonzo maana yake nini??View attachment 1995075
Mselfie wa kindewa,,,,,,
Mtu fulani hivi mwenye akili nyingiNyonzo maana yake nini??
Kumbe,basi huku kwetu wenye akili ni wengi,maana wakina nyonzo wapo wengi[emoji120]Mtu fulani hivi mwenye akili nyingi
Huko kwenu wapi? Ukhty,,,Kumbe,basi huku kwetu wenye akili ni wengi,maana wakina nyonzo wapo wengi[emoji120]
Nifundishe[emoji6]Ni tatizo hilo pia. [emoji45][emoji45]
[emoji38]Bichwa kama kona ya kabati....
Tumia dawa hiziNikila mapema,ikififa saa.4 tumbo linakwangua njaa[emoji41]asubuhi naamka mgonjwa[emoji2902][emoji2902]View attachment 1995086
Huku,ulipoHuko kwenu wapi? Ukhty,,,
Ngoja nizinywe na maji au nizitafune tuTumia dawa hizi
View attachment 1995112
Tumia dawa hizi
View attachment 1995112
😂😂😂 umefanya mpaka nimegeuka kuangalia kabatiBichwa kama kona ya kabati....
Wanasemaga wenye makomwe ni wazurii[emoji38]
Kona ya kabati ina nafuu[emoji23]
Bichwa baya na komwe juu[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasemaga wanaume wanaotumia mmea some of 'em lakini, wako romantic sana. .. Unalizungumziaje?Kitu cha kwa mswati,, ila Tanzania mmea huu sijui umewakosea nini,, yani ukikutwa na kimti pombe kesi yake sawa na mhujumu uchumi kah!
View attachment 1995087
Kuna mtu umefanana nae? 🤔View attachment 1995075
Mselfie wa kindewa,,,,,,