Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hivi nilisema nitatuma!Ulituahidi picha leo ?
Dah leo sijapiga afu muda huu simu yangu battery low na hakuna mwanga.
Ngoja niiboost,,nitapiga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nilisema nitatuma!Ulituahidi picha leo ?
Haya dearHivi nilisema nitatuma!
Dah leo sijapiga afu muda huu simu yangu battery low na hakuna mwanga.
Ngoja niiboost,,nitapiga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niite jina langu. Niite Chalii. Au Francisco.
Sawa FransiscoNiite jina langu. Niite Chalii. Au Francisco.


@KarmaDear
Sisi ni binadamu na tunakosea kwa maana hakuna aliye mkamilifu. Najua ile siku wakati tunakusema humu uliumia na ulijisikia vibaya kwa kuwa ulisingiziwa.
Binafsi naomba nisamehe kwa kukusingizia kuhusu ile ishu. Nakiri kuwa mimi ndiye mwenye makosa kwa kukutuhumu na kukusema vibaya na kukaa kimya pia.
Na niliona nikae kimya kwa sababu nilihisi kama ningeongea tena ningezua ugomvi mwingine mkubwa zaidi. Haya yote chanzo ni mimi wala asilaumiwe mtu mwingine yeyote.
Once again im very sorry. Naomba nisamehe yaishe.
![]()
![]()
mimi pia ni GKuna mmoja sijakumbuka Id yake alitembea na ile G yakoananiuliza kama nimeshaachana na G Wangu
huyu G jamani
Ila ile skriiiiii ya mwisho ule mwandiko naujuaaaa.
Nikaandika napost naona 'the requested thread couldn't b found.




Utaweza kabisa. Mimi nimemaliza muda sana tokea saa moja na nusu.Sawa Fransisco
Leo najaribu kula saa1
Ngoja nione kama nitawezaView attachment 1994921
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu G ni Warda pekee ndiye anamjua.mimi pia ni G
naitwa Gerald![]()
Niambie kalumbu! Za siku?@Karma
salama kalumbu una busara na hekimaNiambie kalumbu! Za siku?


Zao lenye maajabu yake Yani😋😋😋Noelia zao pendwa 😂💦🧚♀️View attachment 1994941
Mmh mzazi.....
salama kalumbu una busara na hekima
live long![]()



Hadi Sasa najisikia njaa.Utaweza kabisa. Mimi nimemaliza muda sana tokea saa moja na nusu.