Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Tunasema tu ukweli jamani
Nyie watoto adabu hakuna kabisa! Mnanisengenya kweli?
Nyie watoto adabu hakuna kabisa! Mnanisengenya kweli?
Nimekosea kwani?
Captain Fantastic
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekosea kwani?
Nampenda sana.Captain Fantastic
Sasa unataka nimwage mchele kwenye kuku wengi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana,ila imekuwa fupi mno hadi naogopa .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unataka nimwage mchele kwenye kuku wengi?
Kwa kizazi chetu hiki cha 90s na 2000s huyu ndio mchezaji bora kabisa kumuona akichezea team yetu ya Liverpool.Nampenda sana.
Kipindi hicho napata akili, naanza kuangalia mechi za liva..miaka ya 2000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Emoji 23 ni emoji gani huku kwangu haija display 😜
Na niliipenda liva kwa sababu yake huyu mwamba[emoji91].Kwa kizazi chetu hiki cha 90s na 2000s huyu ndio mchezaji bora kabisa kumuona akichezea team yetu ya Liverpool.
Huyu angeweza kuua mtu kisa Liverpool.
Nikitumia PC ndio hautaona kabisa emoj[emoji23]Emoji 23 ni emoji gani huku kwangu haija display [emoji12]
Yeah hiyo Liverpool ya 2007 - 2010.Na niliipenda liva kwa sababu yake huyu mwamba[emoji91].
Akiwepo na Torres basi liver ilikuwa [emoji7][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe usicheke bana nipee greenlightNikitumia PC ndio hautaona kabisa emoj[emoji23]
Ni emoj ya kicheko[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampenda mno Gerrard[emoji7]Yeah hiyo Liverpool ya 2007 - 2010.
SG alidhihirisha kuwa ni captain material na mfia team fainal ya Champions League 2005 Liverpool vs AC Milan pale Istanbul.
Siku hizi ni coach wa Rangers ya Scotland. Amehusishwa (tetesi) na kazi ya kuinoa Newcastle pia recently.Nampenda mno Gerrard[emoji7]
Siku hizi sijui ni kocha wa timu Gani..yaani nilimpenda huyu kaka..
Liverpool og ya miaka hiyo[emoji3590][emoji3590],though vijana wapya wanafanya vizuri Bado[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshakupa boss.Wewe usicheke bana nipee greenlight
Asante. Sasa usiniite boss maana hapo wewe unakuwa ume submit kuwa ni subordinate wangu kitu ambacho mimi sikitaki. Mimi na wewe ni sawa.Nimeshakupa boss.
Ila tu usinifundishe kula saa12 jioni[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeacha mdogo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jf,nimeamka na stress ila naona stress zinaisha
Yaani nimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787],Wewe dada acha kunichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mtu mwenyewe ninaemuombea sas[emoji2297][emoji2297]Ulikuwa busy na maombi[emoji5][emoji5]