Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanasemaga wanaume wanaotumia mmea some of 'em lakini, wako romantic sana. .. Unalizungumziaje?
Ah! Mie sisemi sana ila ukiwauliza wenzio waliobahatika kukutana na sie tunaokula kimti pombe tu pasi na mitungi watakupa habari,,, yani tuko very romantic! We jaribu siku moja utakuja kunishukuru hapa jukwaani!😄
 
Mmh mzazi.....


IMG_20211102_043239_7.jpg


Sikuzai Ankali, si unaona saa hii napata global news nipo peke yangu. Usintilie wivu

IMG_20211102_042308_7.jpg
 
Back
Top Bottom