Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani nilikuwa nakutafuta nikujuze,asee[emoji16]
Kuna mmoja sijakumbuka Id yake alitembea na ile G yako 😂 ananiuliza kama nimeshaachana na G Wangu 😂 huyu G jamani

Ila ile skriiiiii ya mwisho ule mwandiko naujuaaaa.

Nikaandika napost naona 'the requested thread couldn't b found.
 
Kuna mmoja sijakumbuka Id yake alitembea na ile G yako [emoji23] ananiuliza kama nimeshaachana na G Wangu [emoji23] huyu G jamani

Ila ile skriiiiii ya mwisho ule mwandiko naujuaaaa.

Nikaandika napost naona 'the requested thread couldn't b found.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unajua kakomaa na depal[emoji41]

Ule mwandiko nilijua tu watu kama nyie akili kubwa lazima ujulikane[emoji2902][emoji2902]
 
20211031_165529.jpg
 
Kuna mmoja sijakumbuka Id yake alitembea na ile G yako [emoji23] ananiuliza kama nimeshaachana na G Wangu [emoji23] huyu G jamani

Ila ile skriiiiii ya mwisho ule mwandiko naujuaaaa.

Nikaandika napost naona 'the requested thread couldn't b found.
Si nilitaka kufuta screenshot zile[emoji41] dadeq
 
[emoji23][emoji23] nimecheka kwa masikitiko.

Dada atakuwa kaumia, sema yule bouya namjua.
Nilinyamaza kibingwa nisije geuziwa kibao [emoji23]
Jamii ikaniinjoy bila emoj [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilimshangaa ujue[emoji41]

Eti kavaa sutuali ya jeans lipana,asee yule jamaa kazingua
 
Back
Top Bottom