Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mad Max sogea kipande hiki nikupe muhindi 😎😎😎
C2FBAB96-F5B3-466D-82B3-4505752582DF.jpeg
 
Nimesema nimeacha, tusije kukupoteza bado tunakupenda [emoji1]…

Hapana sikuona ningeona ningecheka sana, tena usikute ulipanda kule juu upige umelishika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipo Post za juu huko za mwezi uliopita.
Nitapost picha na caption ya atupandile mwakaposta

Nilitamani nipande juu ila niliogopa nisije kamatwa[emoji38]
Jmosi tutaenda wote,mimi napanda juu ya sanamu,wewe unaniphotoa[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipo Post za juu huko za mwezi uliopita.

Nilitamani nipande juu ila niliogopa nisije kamatwa[emoji38]
Jmosi tutaenda wote,mimi napanda juu ya sanamu,wewe unaniphotoa[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄😄 aisee!
Ngazi usisahau tu au ndio mwanamke wa shoka unaweza kupanda hivyo hivyo?
 
Sina haja ya ngazi..nimetoka uyole miguu mikakamavu[emoji38]

Hivi umekiona kisa changu cha kutaka kudondoka City Mall kwenye zile ngazi zinazotembea?

Sent using Jamii Forums mobile app
🏃🏃🏃🏃🏃

Visa vyako vimenichosha sasa sio siri maana
Mara ulitaka kumezwa na Papa Kigamboni, mara ulikosea njia ukaingia Ukulu, mara Uliingia BOT ulidhani ni mgahawa, Mara ulienda kukata ticket ya kwenda Mbeya kwenye kituo cha Mwendo kasi, leo tena ulitaka kuangua

Am tired 🙌🏽
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Visa vyako vimenichosha sasa sio siri maana
Mara ulitaka kumezwa na Papa Kigamboni, mara ulikosea njia ukaingia Ukulu, mara Uliingia BOT ulidhani ni mgahawa, Mara ulienda kukata ticket ya kwenda Mbeya kwenye kituo cha Mwendo kasi, leo tena ulitaka kuangua

Am tired [emoji1430]
Niache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom