Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,532
- 81,260
Yeah seme siunafahamu sinaga show off ndio maana wengine wanashangaa.Huey bana. Kwahiyo mimi ndo Jazmin wako ehhh? 😆😆😆
Yeah seme siunafahamu sinaga show off ndio maana wengine wanashangaa.Huey bana. Kwahiyo mimi ndo Jazmin wako ehhh? 😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣 Nilipitwa na hii 😂😂😂🙈🙈Akisema ni mchumba wa nani humu JF hakyamama tena natembea utupu kwenye mwandiko😁😁utajua hujui🤪🤪🤪
Mwanamke kamili hawezi sema hii kitu hadharani Shemdarling niamini.
Kwahiyo Anne we unasemaje....
Umesema utupu wa mwandiko, natamani kuona unafananaje.
Ila bahati mbaya Lizzy hajataja mcchumba wake,
Sent using Jamii Forums mobile app
Huey wewe huyo.....???Unavyojua kuchonga?🙄🙄😆😆Yeah seme siunafahamu sinaga show off ndio maana wengine wanashangaa.
😁😁😁😁utachonga viazi.
Umesema utupu wa mwandiko, natamani kuona unafananaje.
Ila bahati mbaya Lizzy hajataja mcchumba wake,
Sent using Jamii Forums mobile app
utachonga viazi.
Sio Lizzy tu hata kama ningekuwa ni mimi trust me nisingelimtaja wala kuwa na mategemeo ya kumtaja
Listen mtakatifu wangu kuna mambo lazima yabaki kuwa sirini.kuna watu humu ndan wapo ..tena wapo sanaaaa lakini hawataki kujulikana Kabisa na ukifanya kitu cha kuwafanya wajulikane Hapo hapo unawapoteza.so inabidi tujifunze kuwa na breki ya maneno..tujifunze kuto kuropoka itatusaidia pia kukutana na watu wa maana wakatupatia koneksheni za maisha







Kwahiyo Anne we unasemaje....
Nimtaje nisimtaje???![]()




Hmmmm hata sikuwa najua it's such a sensitive issue......😏😏
Najua huwezi mtaja..
Usimtaje tu..
Siwezi kukushauri ufanye jambo ambalo hata Mimi linanishinda.
Ila nakuja pm kuona picha full ukiwa Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua huwezi mtaja..
Usimtaje tu..
Siwezi kukushauri ufanye jambo ambalo hata Mimi linanishinda.
Ila nakuja pm kuona picha full ukiwa Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app

Naaam
Afadhali mmewauza. Mlisumbua saaana.Binafsi najua kuwa mwaka huu tuna kikosi dhaifu kuweza kushindana, lakini wale Wabotswana sikutegema kama wangeweza kutufunga nyumbani tena kikatili vile.
Kulikuwa na haja gani kuwauza Chama na Miuquession kwa pamoja wakati hatujapata mbadala wao?
Simba ya Mwaka huu haitaweza Kushinda Kombe lolote kwa kuwa haina kikosi kizuri kama cha mwaka Jana
Naona unaongeza zincKaribu karanga za kienyejiView attachment 1987089
☺☺☺☺
Huh! Mimi sihitaji kuwa convice bana. As long as nilisha ku convince wewe sijali kuhusu wao.Huey wewe huyo.....???Unavyojua kuchonga?🙄🙄😆😆
Haya sasa unawa-convince vipi?