Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani..nilivyouliza harakaharaka kama bado umebanwa sio kujali????🙄🙄
if you care, you have to protect me and make sure am happy, put s'one b4 yourself..
kumbuka nilikupa bodyguard aku protect, nikakupa na chopper bure uwe happy, mie ndie nilionesha caring..
 
20211025_044913.jpg
 
Asante binti yangu. Utanikuta Lamadi kesho. Utakuta sato na sangara wa kutosha pamoja na nyama ya mbuzi. Safiri salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ohooo huu ni upendo mzito mno😊😊sato,Sangara na mbuzi☺️Jamani mbona siku zitakuwa chache..😌
Asante Daddy.
Ohooo Da..................ddy😊😊😊
 
Acha bana..wacha wapigane..mi manutd

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Nalia kwa kicheko. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 man utd mmezibwa vibaya.

Nileteeni Henyi Magwaya na mwenzake Rona.

Sasa Rona kwanini alimpiga mwenzake teke? Mwambieni mchezo hautaki hasira.

Wajukuu wa Sosha 🤣🤣 amkeniiiii
 
Nalia kwa kicheko. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] man utd mmezibwa vibaya.

Nileteeni Henyi Magwaya na mwenzake Rona.

Sasa Rona kwanini alimpiga mwenzake teke? Mwambieni mchezo hautaki hasira.

Wajukuu wa Sosha [emoji1787][emoji1787] amkeniiiii
Wakatupiga na ngumi lakini wapi[emoji23][emoji23]

Wakatupiga na mateke lakini wapi[emoji23][emoji23]
Tukawachakaza.


Halafu nakumbusha tu,Jack ni Man UTD afu ni simba.
JamiiForums-313496298.jpg
JamiiForums1758931856.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom