Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Mbegu za Monsanto ama?
Mbegu za Monsanto ama?
Kama kweli haya mahindi yapo, basi ugali mweusi upo😁
Hahaha...na maanisha matundu/mashimo ya GiaWe kweli dereva kwa hio ukiona tundu au shimo barabarani wakati upo kwenye gari lazima ulilenge.. haya bwana angalia usije pata ajali
, mashimo mengine sio

Hiyo siwezi kunywa mkuu.
SawaHiyo siwezi kunywa mkuu.
Inanoga kama energy drink zile za jero..ishanishinda kitambo.
Mimi nipe grand malt.
Nipo nyumbani mkuu.Sawa
Nipe/nielekeze utaratibu wa kukupa Grand Malt unywe mkuu.
Ulimuona nani na nani mkuu?Hivi kwanini wanawake wengi wanyakyusa wana ndevu?
Naomba namba yako ya M-pesa nikutukie hela ununue hiyo Grand Malt mpendwaNipo nyumbani mkuu.
Unaweza kuniletea hiyo grand malt au ukaniletea hela nikanunue.
Mpesa yangu na Airtel money yangu pia ipo wazi kabisa tayari kwa kupokea muamala.
Sawa ngosha nitakupa.Naomba namba yako ya M-pesa nikutukie hela ununue hiyo Grand Malt mpendwa
Amina Ng'wanike(Mhayo)Sawa ngosha nitakupa.
Mungu akubariki mno.
Nikupe sasahivi au muda unaotaka kutuma??
SAWA..Amina Ng'wanike(Mhayo)
Nipe sasa hivi badae naweza kusahau maana tayari nimekwambia nikutumie.
Popote pale utakapoona panafaa na penye usalama zaidi kutuma AnneSAWA..
Nakupa wapi Sasa?
Kama wana misambwanda ndevu siyo tatizo kivile![]()






Dah umeshindikana wewe
Yaani hadi ndevu unazikubali kisa tu mwanamke ana msambwanda![]()











Popote pale utakapoona panafaa na penye usalama zaidi kutuma Anne

Halafu mwanamke/wanawake wenye ndevu huwa wa...t###amu sana kunako.Kama wana misambwanda ndevu siyo tatizo kivile![]()
Hapana usiite mtu/watu wakuchukulie hela
Karma Au Jack Palladino
Nichukulieni hela hii,nitaikuta kwenu.
Au ngoja niende kwa wakala nimuombe utume Moja Kwa moja kwake ili kuepuka makato ya mimi kutoa.
Utatuma na ya kutolea?Hapana usiite mtu/watu wakuchukulie hela
Hapana siogopi gharama yoyote ile kukutumia hela ya Grand Malt
Pm yangu iko wazi kupoke kile utakacho tuma mpendwa