Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3590] SOMA NENO LA MUNGU[emoji3590]

[emoji433] Mhubiri 2 : 24 -26

[emoji2771]24 Mwanadamu hapati jema kupita kula na kunywa, na kuiburudisha roho yake kwa mema katika kazi yake. Hayo nayo naliona ya kwamba hutoka mkononi mwa Mungu .

[emoji2771]26 Kwa sababu Mungu humpa yeye aliyemridhia hekima na maarifa na furaha ; bali mkosaji humpa taabu, ili kukusanya na kututa, apate kumpa huyo ambaye Mungu amridhia. Hayo nayo ni ubatili na kujilisha upepo.

[emoji3585] Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni,Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko.

[emoji3585] Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.

[emoji3585] Kumbuka_*Tazama, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.*_

[emoji120][emoji3590] Mbingu Ipo[emoji3590][emoji120]
 
[emoji1635]
20211019_125051.jpg
 
Ahsante [emoji22]

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kweli mbuzi wa masikini hazai,
kumbe huyo Cr 7 wenu alijaribu kufunga ila ikawa offside😂
😂😂😂😂😂😂
Laana ya kumpiga mateke Salah inamtafuna,,ataambia nini watu,,yupo uwanjani na tumewachakaza mabao yote yale.
 
Back
Top Bottom