Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Pole tena?
Pole tena?
Wapumzishe sasa wenzako khaaah 😄Kweli mbuzi wa masikini hazai,
kumbe huyo Cr 7 wenu alijaribu kufunga ila ikawa offside😂
😂😂😂😂😂😂
Laana ya kumpiga mateke Salah inamtafuna,,ataambia nini watu,,yupo uwanjani na tumewachakaza mabao yote yale.
Na wewe umekuja nikukaange?Wapumzishe sasa wenzako khaaah 😄
View attachment 1986343
Machungu ya kutolewa CAF Champions league na Wafuga Ng'ombe wa Botswana bado hayajaniisha.
Anyways, Happy Monday to everyone here 🥂
Simba hakuna timu pale kamanda,,,mna wakimbia uwanjani😂View attachment 1986343
Machungu ya kutolewa CAF Champions league na Wafuga Ng'ombe wa Botswana bado hayajaniisha.
Anyways, Happy Monday to everyone here 🥂
Unataka kuhamia Liver ghafla hivyo?Pole tena?
Naona wiki imeanza vzuri🤣🤣🤣
Weee na iishe tu 💃 yan ikiisha nitakuwa na story mob 🤣🤣Naona wiki imeanza vzuri🤣🤣🤣
Ukipata extra nifanyie basi mpango na mimi, tusmile wote jamani😂
Hahahaaa natangaza rasmi kuacha ujeuri, nimegundua haunisaidii🤣🤣Weee na iishe tu 💃 yan ikiisha nitakuwa na story mob 🤣🤣
😂😂 ukiacha ujeuri together we'll smile
🤣🤣🤣🤣 Amen.Hahahaaa natangaza rasmi kuacha ujeuri, nimegundua haunisaidii🤣🤣
Heee ndugu hongera mno👏 naomba hiyo hali iendelee hadi mwisho
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Amen.
Hehheee kamwambie asikie 😂
Jana tumeondoka bar tumeondoka bila kulipa.hakuna cha cr 7 wala 6,,,ni kuwabamiza mabao matano.
Nimeona anavyomtandika na mateke Mo Salah,,,,KWELI Man u mlivurugwa
Ilitakiwa wampige Red card mpuuzi huyu.
Hahaha mkuu kwa hiyo mlijua mtashinda??View attachment 1986343
Machungu ya kutolewa CAF Champions league na Wafuga Ng'ombe wa Botswana bado hayajaniisha.
Anyways, Happy Monday to everyone here![]()
🤣Jana tumeondoka bar tumeondoka bila kulipa.
Tumerudi kulipa asubuhi hii.
Uchanganye bia tano na k venga 1 madame lazima upate wenge zito mno wallahLeo nakunywa bia tano,,ishara ya magoli tuliyowanyuka watu huko.
Nitaongezea na kvant1 husherehekea makolo fc kupigwa.
Nishakuwa expert mimi,,Uchanganye bia tano na k venga 1 madame lazima upate wenge zito mno wallah
Nishakuwa expert mimi,,
tule tu heineken kama maji tu,hatunikolei tule.