Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246



Nkitoka Tarime ntapita hapo! Jiandae kupata mgeni
Picha ya enzi za Ujana hiyo Mjukuu 😀😀🤣🤣🤣🤣 kapsheniii.
Kongole tu my wife wako, code + shoe inawaka 💃
SHIMBA YA BUYENZE akiniiruhusu nikupokee 💯 nitafanya hivyo.utakuwa mgeni wetu.Nkitoka Tarime ntapita hapo! Jiandae kupata mgeni
Binafsi najua kuwa mwaka huu tuna kikosi dhaifu kuweza kushindana, lakini wale Wabotswana sikutegema kama wangeweza kutufunga nyumbani tena kikatili vile.Hahaha mkuu kwa hiyo mlijua mtashinda??
Tangu manara aondoke mna pata tabu saana
Huyo bhageshi wangu hana matatizo kabisa! Sema tu kawivu kwa mbaali kananyemelea!SHIMBA YA BUYENZE akiniiruhusu nikupokeenitafanya hivyo.utakuwa mgeni wetu.

Chama na miquissone ungewabakiza kwa pesa ipi? Unalaumu bila kifuatilia na kujua mambo.Binafsi najua kuwa mwaka huu tuna kikosi dhaifu kuweza kushindana, lakini wale Wabotswana sikutegema kama wangeweza kutufunga nyumbani tena kikatili vile.
Kulikuwa na haja gani kuwauza Chama na Miuquession kwa pamoja wakati hatujapata mbadala wao?
Simba ya Mwaka huu haitaweza Kushinda Kombe lolote kwa kuwa haina kikosi kizuri kama cha mwaka Jana
Mwaka huu hatuna kikosi kizuri Anne, mashabiki wenzangu wa Simba tukubali kujipanga tena kwa ajili ya Mwakani.Simba hakuna timu pale kamanda,,,mna wakimbia uwanjani😂
Mkuu mbona waliweza kukaa nasi zaidi ya Mwaka Mmoja kukipiga Simba? Si walikuwa wakilipwa mishaharaChama na miquissone ungewabakiza kwa pesa ipi? Unalaumu bila kifuatilia na kujua mambo.
Mnashabikia vitu vya ajabu,😀Mwaka huu hatuna kikosi kizuri Anne, mashabiki wenzangu wa Simba tukubali kujipanga tena kwa ajili ya Mwakani.
Acha uchokozi bestMnashabikia vitu vya ajabu,😀
Waliweza kwa sababu walikuwa bado hawajapata nafasi za kucheza kwenye timu zenye pesa nyingi.Mkuu mbona waliweza kukaa nasi zaidi ya Mwaka Mmoja kukipiga Simba? Si walikuwa wakilipwa mishahara
Terrifying...Can't handle take-offs especially with any small props...
Waganga wa kienyeji wakiokoka na kuachana na vilinge huwa washika dini wazuri sanaSOMA NENO LA MUNGU
Mhubiri 2 : 24 -26
24 Mwanadamu hapati jema kupita kula na kunywa, na kuiburudisha roho yake kwa mema katika kazi yake. Hayo nayo naliona ya kwamba hutoka mkononi mwa Mungu .
26 Kwa sababu Mungu humpa yeye aliyemridhia hekima na maarifa na furaha ; bali mkosaji humpa taabu, ili kukusanya na kututa, apate kumpa huyo ambaye Mungu amridhia. Hayo nayo ni ubatili na kujilisha upepo.
Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni,Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko.
Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.
Kumbuka_*Tazama, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.*_
Mbingu Ipo
![]()











Ni mdogo wangu huyo. Kwa hiyo ni babako mdogo. Tutampokea kwa heshima zote...SHIMBA YA BUYENZE akiniiruhusu nikupokeenitafanya hivyo.utakuwa mgeni wetu.
Na uzoefu wote huo??Terrifying...Can't handle take-offs especially with any small props...