Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wow!!Naweza kuonana na wewe?
Uko sehemu gani?fanya tuonane kesho mapema kabla sijaenda Lamadi
EC0F7CF8-F628-4EA7-8FCB-CD19AB6563F5.jpeg
karibu
 
Hujawahi kuona???

Watoto wa school bus tabu sana 🙄😏😁
😁😁😁
mie sina cha kusema, nikubishie nikose ubwabwa xmas, niko smart, najua unataka nikujibu,tubishane uni trim xmas nisije..
nishajua na play smart.. siku ile ulitaka unipe kesi eti nimesema sunset yako mbaya.. nikaipangua, najua kuna mengi yanakuja..😁😁
nimejiandaa, walisema mtaka cha uvunguni...................................

niko hapa nasikiliza acha nikae kimya ya Diamond
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hivi kumbe ehhhh?? Inawezekana kabisa I was tryanna play you bila hata kupanga...😆😆 I'm that bad!!

........shurti aendelee kukifuatilia! Nimepatia au nimekosea....? 😁🙈🙈

Ila usijali m'school bus! If you make it to Christmas dinner basi utayakuta mahindi ya rangi walau uyajue 🙂.....hata kama ukubwani.😏😏
 
😁😁
Unaniruka tena kama hujui ulikuwa umepanga..

Ngoja tuone kama nitafika hio Xmas..

😁😁
 
Back
Top Bottom