Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Nikiwa mkubwa na mimi nataka niwe kama NingePyeeeee 🤣🤣
Nikiwa mkubwa na mimi nataka niwe kama NingePyeeeee 🤣🤣
🤣🤣🤣 unataka uanze kuwa na mambo ya kizee zee?Nikiwa mkubwa na mimi nataka niwe kama Ninge
Hahah! Mambo ya kizee…..🤣🤣🤣 unataka uanze kuwa na mambo ya kizee zee?
Leo macho3 yamekubali Ku log in jf 😁 karibu asee
Tuachie wazee...Hahah! Mambo ya kizee…..
Asante tupo pamoja kwenye 1 na 2
Sawa wazee wangu 🙌🏽Tuachie wazee...
Usipotee sana, au tukuletee edge + ili usiwe unatukimbia kimbia.
Malizia basi na Methali 3:24
Proverbs 3:24Malizia basi na Methali 3:24
Umepotelea wapi dogo??nipo Anne
Asante sana🙏Proverbs 3:24
Ulalapo hutaona hofu;
Naam,utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.View attachment 1984802




Mkuu ukinisomea 5:18 Waefeso utabarikiwa sana🙏
Tena msilewe kwa mvinyo,ambamo mna ufisadi;bali mjazwe Roho.Mkuu ukinisomea 5:18 Waefeso utabarikiwa sana![]()
Thanks a lot🙏🙏🙏Tena msilewe kwa mvinyo,ambamo mna ufisadi;bali mjazwe Roho.View attachment 1984808
Mvinyo hudhihaki,kileo huleta ugomvi;Ukiona inampendeza bwana hebu tusomee na hio Methali 20:1 tuikaribishe jpili vyema kabisa..nikalale na kulala..
🙏🙏🙏🙏 UbarikiweMvinyo hudhihaki,kileo huleta ugomvi;
Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.
Chukua na huoThanks a lot![]()