Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli kabisa. .asante kwa ushauri mzuri

Cc Smart911
Usipost mwaya eeeh kama babe hatakua comfortable. Sisi ni wapita njia tu humu, uki post au usipo post hamna kitakachobadilika.

Ila ukapost halafu babe wako akaku mind ni kitu ambacho utajutia kwa muda na sisi wala hatutajua wala hatutajali. Msikilize babe wako na anavyokupenda anakulinda na mafisi eti.
 
Mbona mimi wa kwangu siyo uamuzi.. Unakuta napungua mpaka watu wanahisi labda ninaumwa, after few months zile nguo zinanibana naanza diet tena, mie nina mwili mbaya wa kuridhika haraka!!
Yeah...
Huwa kuna aina hii ya watu, nami ni mmoja wapo...

Unachofanya ni kucontrol mwili kwa ulaji na mazoezi...
 
Humu ndani wote mafisi hata wao kabla hawajawa wapenzi.....

Back
Top Bottom