Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah...

Unajua nini SweetieLee, kuongezeka mwili ama kupungua si ulemavu ni uamuzi tu...

Mara ya mwisho watu niliokutana nao hapa JF wakikutana nami sasa watsema wamekutana na mtu mwingine...

This time around nimeamua niwe hivi, wakati ule niliamua kuwa nilivyokuwa...
Mbona mimi wa kwangu siyo uamuzi.. Unakuta napungua mpaka watu wanahisi labda ninaumwa, after few months zile nguo zinanibana naanza diet tena, mie nina mwili mbaya wa kuridhika haraka!!
 
Back
Top Bottom