Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baharia Ngosha katika ubora wake
FB_IMG_1570204454022.jpeg
 
I'm yours smart. ..allow me nothing will change sweetbebe jamani watu wanajirushaa namimi nimetamani jamani!
Usipost mwaya eeeh kama babe hatakua comfortable. Sisi ni wapita njia tu humu, uki post au usipo post hamna kitakachobadilika.

Ila ukapost halafu babe wako akaku mind ni kitu ambacho utajutia kwa muda na sisi wala hatutajua wala hatutajali. Msikilize babe wako na anavyokupenda anakulinda na mafisi eti.
 
Saiv sipati tabu nikimiss kufurahisha macho nakuchungulia pahala akuuuu karoho kanatulia

Hivi naimagine ningekuwa mwanaume ningekuwaje maana napenda kuangalia wanawake wazuri wazuri tu haipiti siku sijawatafuta huko duniani niwatizame basi nifurahi

Wewe sio mzima akii...

Tatizo wewe uliweka ya miguu nakosa uhondooo
 
Back
Top Bottom