Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

...
IMG_20211020_174123_1.jpg
 
Tufukuze machinga, Dar es salaam iwe kama huko kwa wazungu tupande Miti ya kuvutia, Nyasi pia tuweke pavement na Waste containers katika sehemu kubwa ya jiji.

Tutapata hewa safi, njia kubwa za pedestrians, efficient sewerage systems nk and good enough itatusaidi katika kulinda na ku'improve afya ya akili.

LAKINI ni pale ENDAPO hio serikali haitakoma kufanya hili Watufukuze ! Watufukuze ! Watufukuze ! Consistently over a long time hata mwaka mzima ni kufukuzana.

Not that bad tutapata fursa nyingine za kujikwamua kimaisha hata nitaenda Ruvu kulima Bamia na ngongwe

Unfortunately Serikali haiwezi fanya hivyo and am sure. (Haina Consistency hio)
IMG_16347485946204861.jpg
 
Back
Top Bottom