Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nichukue pesa halafu uje unikamate kwa kesi ya copyright na kutumia picha zako kufanya biashara? Nani anataka kadhia za kukaririshana PGO..

Kwenye somo la kumpanga mtu una A tena ya 98% , umeona photoshoot siwezi kupangika vyema, umeongeza na mishikaki.. haya bwana..
Kesi ni kama tu hela umekula mwenyewe 😒😒

Mchagga mie ukiniwekea hela mezani msamaha bure bure 😁😁🙈🙈 Kuweka msisitizo nim-quote Tory Lanez kabisa "Money makes me happy everytime I count it!" 🤑🤑

Kuhusu kukupanga 😁😁😁 Toa jibu kabisa nione kama nastahili hizo marks au ndo ushindi wa mezani 😐😏
 
20211019_192546.jpg

20211019_192500.jpg
20211019_192315.jpg
 
Kesi ni kama tu hela umekula mwenyewe 😒😒

Mchagga mie ukiniwekea hela mezani msamaha bure bure 😁😁🙈🙈 Kuweka msisitizo nim-quote Tory Lanez kabisa "Money makes me happy everytime I count it!" 🤑🤑

Kuhusu kukupanga 😁😁😁 Toa jibu kabisa nione kama nastahili hizo marks au ndo ushindi wa mezani 😐😏
Ok... Naiuza, kabla zijaiuza nitakutumia au nitaiweka hapa.. nikiwa kwenye mazingira ya kui access

Nakusikiliza sasa, we si ndiye mwenye ratiba😀, nipange sasa nipangike unafikiri nina jibu zaidi ya ndio..

Photoshoot na mishikaki juu😋😋, nani hapendi, nasubiri tu na kukusikiliza..
 
Nasubiria kuona hayo maajabu 🙃🙃

Kuhusu ratiba....how is New years eve?😉
 
Back
Top Bottom