Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii wanaita Royal Class ya Azam, Kilimanjaro 7. Bei yake 80,000/- tu Bro.
Eti 80,000 tu [emoji16][emoji16][emoji16]

Hapo parefu sana bro japo inaonekana iko poa mno. Nina ishu sana na huu usafiri wa majini lakini hii naweza kujikaza aisee hasa kama nikidunduliza mpaka kumudu hiyo 80K. Third class sh. ngapi?
 
Back
Top Bottom