100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,778
- 30,844
Hio ipo nimeiweka ukutani, niliiprint ikawa kubwaaa kila mgeni anayekuja ananiuliza huyo ni nani? Mbona ana ua usoni? Sasa hio picha mie nipo pembenj yako halafu kwa nyuma Kuna farasi, background inaonekana beach .. ๐ , ukiiona huwezi amini kama ipo photoshopiwa yani..๐๐๐๐๐
Matokeo yalikuwaje??
Amazing Sana.. Kuna jamaa mmoja anasema nimuuzie, nikasema NO!๐



