Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wow

Uzuri wa DSM Usafiri upo hadi alfajiri jirani.

Badala ya tano nikuwekee 6 best ili 3 ziwe za moto na tatu ziwe za baridi, sema ndiyo nimtume mjukuu akafate
Tofauti na Kwetu Mbeya,saa 3 daladala zishaisha .

Huku Usafiri upo ila foleni kubwa mno.

Niwekee tu mkuu wangu,hata 10.
Leo sikukuu watu tulewe.
 
Of course hata Mimi kile kiharufu cha kuku ndiyo huwa sikipendi na nimekuwa mpenzi wa kuku wa kuchoma zaidi kuliko wa kuunga.

Fanya kunipigia tukapate Makange ya kuku hapo jirani na kilaji ili Maulidi yako iishe vizuri. Jirani kupeana atii
Hahaha ningekuwa free ningekutafuta mkuu ila si unajua tena masikini hatunaga weekend wala sikukuu kwenye utafutaji. Ila usihofu mkuu nafasi ikipatikana tutaonana tu!
 
Nikimaliza hapa jioni nihamie kwenye mbuzi Kwa jamaa zangu

Screenshot_20211019-153440.png
 
Haha huwa sipendi unless zichomwe vizuri nisisikie shombo! Mfano nilikuwaga sili kabisa kuku wa kuchoma ila kuna sehemu kule Dodoma kuku zao za kuchoma ni Hatari na nusu ndiyo pakanifanya nianze kupenda kuku za kuchoma!

Dooh sikukuu yenyewe Tupo tupo tu ndugu yangu
Dodoma ndiyo yenyewe kwa kuku choma. Ipo all over Kwa bei rahisi sana
 
😁😁😁😁😁😁

Mie Tomaso nahitaji kuona ili niamini 😃😃😃

Alafu unazingua 🤨🤨Unakataaje hela sasa???🙄 Au ilikuwa kidogo sana??? Coz kama sio, tungeweza kabisa kwenda kukodisha farasi tukafanya bonge la photoshoot mida ya sunset na mishkaki tukala 🤗😏
Nichukue pesa halafu uje unikamate kwa kesi ya copyright na kutumia picha zako kufanya biashara? Nani anataka kadhia za kukaririshana PGO..

Kwenye somo la kumpanga mtu una A tena ya 98% , umeona photoshoot siwezi kupangika vyema, umeongeza na mishikaki.. haya bwana..
 
Hii kitu Mimi sijaipenda ,nimeona ipo very overated
Kitu kipi kimefanya usiipende? Mfano Mimi movie za super hero nilikuwa sizielewi kabisa, lakini siku hizi naziwatch fresh tu na na enjoy cause movie yoyote ukitaka saaana uhalisia utajikuta huenjoy, ili uende sawa na movie we jiweke mkao wa kuamini kinachoonyeshwa ni ukweli na usikae kukaa kiukosoaji zaidi, we kaa utazame kwa ku enjoy zaidi, ule uongo kwenye FF9 wa kubaka laws za physics ujue ndio utamu wenyewe sasa..
Nowdays mpaka katuni naangalia ..😁
 
Back
Top Bottom