Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku ya kusnap chat na glass mkononi unipasie location- I will prefer this one badala ya kukimbizwa mchaka mchakaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
LOH!!Sasa mbona ukaanzia mbali hivyo??πŸ™„ Siungesema tu mapema 😁😁
Ila napo ujue kupiga picha nzuri sio nitokee sieleweki 🀨🀨.......ndo company inakubalika!!
 
Sijawahi kupenda wala kutazama series zozote za Korea, hii Squid kwa mara ya kwanza ndio naitazama, wako vizuri..

Tena hapo kuna mtu kaniambia ipo vizuri Sana niicheki, kucheki 1st episode Basi nimejikuta nipo S01E07..
Same hii ni mara ya kwanza nimeanza jana tu. Sure ipo vzr sana.

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Usinambie hata kuku wa kuchoma hutumii, nije nikupime imani kwa kukuletea Kuku mzima wa kuchoma


Nikaribishe sikukuu boss
Haha huwa sipendi unless zichomwe vizuri nisisikie shombo! Mfano nilikuwaga sili kabisa kuku wa kuchoma ila kuna sehemu kule Dodoma kuku zao za kuchoma ni Hatari na nusu ndiyo pakanifanya nianze kupenda kuku za kuchoma!

Dooh sikukuu yenyewe Tupo tupo tu ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…