Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ndio maana hata sikufikiria kuwa mwalimu,,Hahaha
Na watoto wazazi wao hawataki wachapwe siku hizi.
mimi mtoto akiniletea jeuri lazima nimnyooshe.
Ndio maana hata sikufikiria kuwa mwalimu,,Hahaha
Na watoto wazazi wao hawataki wachapwe siku hizi.
Kumbe!Wao huwa hawakosei.
Ndio hivyo ujue kuanzia leo😀Kumbe!
Kumbe wenzetu wanajiona perfect😂Ndio hivyo ujue kuanzia leo😀
Yaani nimeandika hadi mwenyewe nacheka.😀😀😀
Aisee
Si ndio maana wanatupiga kwa sababu wao hawakosei sisi ndio wakosaji😶Kumbe wenzetu wanajiona perfect😂
Mwenye pawa hakosei!Kumbe wenzetu wanajiona perfect😂
Dah!! Jamaa maisha asee..
Mimi Mtu akinidunda tunadundana.Si ndio maana wanatupiga kwa sababu wao hawakosei sisi ndio wakosaji![]()
Hahah!Mwenye pawa hakosei!
Mmmh!nyofoa mtu kabla hajakunyofoa, usifikiri kila mwanadamu ana roho kama yako.. one day utakuja kuelewa kwa nini nasema hivyo..
Ni sawa nimpeleke pale ubungo plaza juu,halafu nikamwambia akae,asiruke chini kwa sababu akiruka atatenguka kiuno.ngoja nikjibu kwa uelewa wangu...
kwanza kabisa tukubaliane uhuru tulionao wa kutenda mambo na kuchagua lazima uwe ndani ya uwezo wetu, yaani what's in your capacity, ikiwa ndani ya uwezo wako basi waweza chagua na kutenda..
nikupe mfano..
Mwalimu anayefundisha darasa la watoto 100, mwishoni mwa mwaka wanafanya mtihani lakini kabla ya mtihani mwalimu kwa sababu anafahamu uwezo wa kila mwanafunzi, anafahamu nani ana juhudi, nani ni mtoro, nani ni muelewa haraka n.k,mwalimu tokana na kuwafahamu wanafunzi ata predict mwanafunzi fulani atafaulu vizuri, mwanafunzi fulani atafeli, na kweli baada ya mtihani yanatokea kama alivyo tabiri, je mwalimu alaumiwe kwa utabiri wake? mwanafunzi aliyefeli alaumu mwalimu kamtabiria kufeli? nani wa kulaumiwa kwa mwanafunzi kufeli mwalimu au mwanafunzi 🙂
Mungu ametupa uhuru wa kuchagua mema au mabaya, choice is yours, ametuambia mema na mabaya na akatupa uhuru wa kuchagua, kila kitu unachokwenda kukifanya mungu anajua unakwenda kufanya nini na nini matokeo yake, yeye si wa kulaumiwa katika choice zako japo anajua kabla hayajatokea 🙂..
Karibu boss wangu.Sawa, tegemea ujio wangu jioni.
Usisahau kunipa coordinates za eneo