Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Basi wewe ndiyo unafaa kuwa mwalimu! Mimi mwenzio siwezi kuwa mwalimu sababu siwezi kuwa serious na mtoto wa mtu na pia siwezi kuforce ukali ila wewe una hizo sifa na unajiona huwezi kuwa mwalimu wakati waalimu wengi wana hizo sifa!Mimi ni mkali halafu nipo strict sana,,,kipaji cha kufundisha pia sina na nina hassira za karibu japo ni ngumu mtu kuzigundua maana nimekaa kipole usoni.
Kuwa mwalimu sifa ya kwanza ni unaa! Ukiwa mpole wanafunzi watakuonea sana maana wanafunzi ndivyo walivyo yaani!





