Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20211019_075535.jpg
 
Sure mkuu! Siku hizi binadamu wamekuwa wanyama kuliko hata wanyama wenyewe yaani siku hizi ni heri ukutane hata na simba kuliko binadamu mwenzio asiyekufahamu!

Hata mimi nilijifanya nina upendo sana nikaja kuambiwa hiyo statement nikajifanya siamini! Ila baada ya kujua kuwa siyo kila binadamu ana roho kama yako nikajifunza kitu na sina huruma na mtoto wa mtu yaani ukinifanyia ubaya nakufanyia ubaya zaidi ila ukinifanyia wema nakufanyia wema zaidi!
Kabisa...
If you are a dick am gonna be a dick four times, duniani hapa ndivyo namna bora ya kuishi na watu..
Mtu yeyote mkorofi iwe jirani,mpangaji or stranger namna bora ya kuishi nao na wakakuelewa kama ni wakorofi kuwa kichaa mara 10 zaidi..
 
Back
Top Bottom