Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

#squidgame
20211019_130601.jpg


Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kupenda wala kutazama series zozote za Korea, hii Squid kwa mara ya kwanza ndio naitazama, wako vizuri..

Tena hapo kuna mtu kaniambia ipo vizuri Sana niicheki, kucheki 1st episode Basi nimejikuta nipo S01E07..
Same hii ni mara ya kwanza nimeanza jana tu. Sure ipo vzr sana.

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Usinambie hata kuku wa kuchoma hutumii, nije nikupime imani kwa kukuletea Kuku mzima wa kuchoma

Nikaribishe sikukuu boss
Haha huwa sipendi unless zichomwe vizuri nisisikie shombo! Mfano nilikuwaga sili kabisa kuku wa kuchoma ila kuna sehemu kule Dodoma kuku zao za kuchoma ni Hatari na nusu ndiyo pakanifanya nianze kupenda kuku za kuchoma!

Dooh sikukuu yenyewe Tupo tupo tu ndugu yangu
 
Back
Top Bottom