Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Woga wako ndio unakuharibia, kijana unatakiwa kufanya mambo ambayo siku ukiwa zako mzee ukikumbuka usipate jibu kwa nini ulifanya hivyo. Chances never come twice, we poteza note hata tano, vumilia msala utakaoupata siku mbili tatu ukidaiwa , huku ukisisitiza hujui zilipo na hauna kitu, then akichoka kudai unaanza kuzila .

Usiseme sijakupa ushauri
Unataka nifie segerea eeh??

Mtu ameniamini nimtunzie maana yeye hawezi, halafu nipoteze
Hahaha!pesa za madafu mkuu,
Sijui kwanini huwa siwezi kuiba hela ya mtu
 
Mtoto mzuri. Wengine tutapiteza zote kabisa na tunadunda kama kawa.
 
Unataka nifie segerea eeh??

Mtu ameniamini nimtunzie maana yeye hawezi, halafu nipoteze
Hahaha!pesa za madafu mkuu,
Sijui kwanini huwa siwezi kuiba hela ya mtu

BTW nakutania, , Mwombe akupe. Mi naendaga eneo kubeba mzigo wa kutosha tu, Sidokoi hata moja, na ninapopeleka haniambii hata asante Pamoja na pressure yote njiani ukiwa umebeba mi hela yake.
 
nafanya kazi ya Bwana Mungu

Selfika mkuu nikuone
 
Hio lazima, yaani teacher lazima apate precious gift... 🙂
and the gift iiiiiiissss...
View attachment 1965893

Halafu dada H sasa ......
the gift iiiissssss

View attachment 1965896
Yaani usiponikaribisha xmas, basi umepishana na hizo gift 🙂
Dear uncle,

Kwanini unataka kutupa zawadi kama za wale wadada wanaovaaga vile vindala vyenye manyoya???😳😳😳

We are not at all extravagant, something small/cool will be very much appreciated 🤗 so please try again!🙂

Kuhusu mualiko...ni wako as long as you don't leave me hanging. Kama naliona pilau na kachumbari hivi.......
 
#anime 😏😏
Screenshot_20211006-202614_VLC.jpg
 
Dear uncle,

Kwanini unataka kutupa zawadi kama za wale wadada wanaovaaga vile vindala vyenye manyoya???😳😳😳

We are not at all extravagant, something small/cool will be very much appreciated 🤗 so please try again!🙂

Kuhusu mualiko...ni wako as long as you don't leave me hanging. Kama naliona pilau na kachumbari hivi.......
🙂kwangu kutoa hizo zawadi haina shida but by whom it is given may matters much...
gift is given by heart not by money...
am gifting as per my financial constraints and limitations to whom am gifting...

😁😁😁mtu akikupatia zawadi na hukupenda inapaswa ujibu its not your style, but that you have found someone to give it to who loves it, then donate it... but kusema ni zawadi za wadada wanaovaa vindala vyenye manyoya🤔🤔 .......ujue there is no reason to hurt someone’s feelings that is trying to be kind and giving, right?(naongea in general)

nikuambie kitu utanishukuru baadae 😃 zawadi ni zawadi just accept sincerely hata kama you don’t like it, need it, or want it, but if someone has taken the time,effort,money to give you something, then it should be accepted graciously, right?...
it is important to accept a gift with appropriate grace and gratitude irrespective of whether or not you like the gift...

thanks... 🙂
 
Basi I'll reserve my next comment for after Christmas dinner 🙂

À bientôt!
 
Kuna warembo humu ni hatari, napita kusafisha macho...which is good for my mental health

Saint Anne ulianza lini kuvaa vya juu ya a mapaja jamani, mtoto mdogo unatuharibia udhu.

Laiti ningekuwa na meno yote 32..dadeq!

Ipo chini ya magoti,basi tu nguo hupanda kidogo mtu akikaa
 
Back
Top Bottom