Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tangu nimefika Dar hii ni mara yangu ya pili kupanda daladala.

Hakiyanani nimeteseka Leo,yaani Korogwe hadi Kimara mwisho kwa mwendokasi huwa natumia dakika 2 hadi tatu.
Leo nusu saa nzima

Nimeshangaa utaratibu wa kudandia gari kabla haijasimama,na abiria waliofika hawajashuka Bado.

Nilishangaa pia daladala za Dar hazina maandishi nyuma Na mbele kama Mbeya.

Yote tisa, kumi Zile ngazi za lift zinazotembea,pale City Mall aisee zilinitoa jasho Mno.

Huyo wa daladala ya gerezani

Sent using Jamii Forums mobile app

Daladala za Mbeya zina maandishi Mbele na Nyuma .
 
Asante sana, kwa sababu umezungumzia ulinzi mkali itakuwa kama ifuatavyo...

1-Nyumba yako tutaizungushia sensors zenye uwezo wa kugundua hata kipepeo akiwa half mile away, sensors zitakuwa na uwezo wa ku detect moshi just in case intruders wataamua kutumia njia hio kupuliza moshi au spray zenye madhara

2-tutaweka sensors na mifumo ya biometric recognition, akija mgeni software zitamgundua hata kwa kutembea tu ukiachilia mbali fingerprint na iris scanner..

3-mafuta, vipodozi, vyakula, malazi, maji, vinywaji itabidi kuchunguzwa na mtaalamu/mkemia kabla hujavitumia.., hata maji ya kuoga...

4-Tutafunga wireless detectors(wireless intrusion detection system), kuanzia simu unayotumia, computer na kila kitu, lazima taarifa zipite kwenye device maalumu ambayo ita decrypt taarifa zote kabla hazijaingia wala kutoka, kwa hio vyote unavyo chat lazima tujue unachat na nani na una browse nini..hio ni kuzuia udukuzi..

5-tutaweka fire proof, tutaweka pia smart home security systems kuhakikisha kila kitu una ki control kwa kutumia simu ya mkononi tu, kuanzia kufunga milango, madirisha, geti, kuwasha taa na kila kitu hata tv..

Kutakuwa na walinzi tofauti tofauti wenye kazi tofauti, achana na wale wenye silaha na miili mikubwa..

wapo njiani wanakuja..
NB gharama zote juu yangu..🙂, toa ua sasa

Yaani hapa atoe tu Ua? Kila kitu kahakikishiwa [mention]Lizzy [/mention] sasa fanya mambo.
 
Ndiyo Mzee wa Dolari.

Yaani kwa mfano ile m/mmoja-Mabibo ..hilo neno linaandikwa pale mbele na nyuma.
Sasa huku kila nikitaka panda daladala ni lazima nikasome mbele imeandikwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, wanakuhangaisha kweli, yaani Daldala mpaka likugeukie ndio ujue linaenda Wapi. . We kama huna mzigo piga tu kwa Mguu hamna shida. Naoma Njia uliyotaja inatembeleka kwa usalama ni Pedestrian friendly road. Spacious walkways kutoka Gerezani hadi Kimara
 
Mkuu hata ungekuwa wewe,
Ungengombaniaje kupanda na huku mkononi umebeba kitu delicate kinachovunjika?

Mimi mtoto wa mtaani tu!
Hakuna Cha mboga saba wala Nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada mi nafanya kazi k.koo naishi kwa komba so mwendokasi mara nyingi nashukia hapo Korogwe napajua sana ila we mgeni ungeshukia Baruti au Bucha ndio rahisi
 
Hahaha, wanakuhangaisha kweli, yaani Daldala mpaka likugeukie ndio ujue linaenda Wapi. . We kama huna mzigo piga tu kwa Mguu hamna shida. Naoma Njia uliyotaja inatembeleka kwa usalama ni Pedestrian friendly road. Spacious walkways kutoka Gerezani hadi Kimara
Mkuu haunipendi wewe!
Hivi Unaweza toka mwenge hadi Kimara kwa mguu???
Na zile barabara za pembeni zote zinajaa magari.

Dah wananihangaisha,hadi nisome mbele ..
Sasa unakuta nyingine imepitiliza, Halafu konda anataka asimame kwa mbele kuuliza kama naenda,na mimi ndio hadi nisome kabla sijapanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada mi nafanya kazi k.koo naishi kwa komba so mwendokasi mara nyingi nashukia hapo Korogwe napajua sana ila we mgeni ungeshukia Baruti au Bucha ndio rahisi
Nilitoka makumbusho mkuu na nilitakiwa kwenda Mbezi.
Sikutokea kkoo, ingekuwa nimetoka kariakoo ningeenda kupanda mwendokasi gerezani ili nisipate shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haunipendi wewe!
Hivi Unaweza toka mwenge hadi Kimara kwa mguu???
Na zile barabara za pembeni zote zinajaa magari.

Dah wananihangaisha,hadi nisome mbele ..
Sasa unakuta nyingine imepitiliza, Halafu konda anataka asimame kwa mbele kuuliza kama naenda,na mimi ndio hadi nisome kabla sijapanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Utazoea tu usafiri huu wa shida ...
Mwanzo ni mgumu .
 
Back
Top Bottom